Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,756
Kwanini uliamua kuoa na umepanga chumba kimoja. Mimi sina cha kukushauri. Unaonekana umeshavurugwa na madawa ya kisukuma. Hauna akili kbs mpuuzi wewe. Kwa hiyo daah yaani nashindwa hata nikuweke kwenye fungu gani.Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.
Menzi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .
Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala anapango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu ata ajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala aoni shida yeye yupo tu
Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu paka natamani nichepuke au nimle huyu shemegi akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawai kazini ananiacha mimi naye naombe ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana
