Huyu mke wangu tatizo

Huyu mke wangu tatizo

Kwanini mke wangu asimfukuze
Shida ina anzia hapo mkeo hana akili yake yakuzaliwa ni shida, wewe ukirudi jioni cheza na mkeo kama mpo wawili tena mwambie ajiandaye kabisa ukifika muda wa kulala kama mgeni humuoni vile kesho ataaga na kuondoka
 
Kwa Maelezo yako nkapiga picha ya haraka haraka ya ndoa hii!! Iko hvo....
Uko jobless na mkeo Ndo ana kibarua kinacholeta chochote mezani coz huwa anaamka asubuh anawaacha mmelala..
Suluhisho; be a gentleman changamka upate kibarua ili heshima yako kama mwanaume ionekane
Kama sivyo basi hicho chumba Ni cha huyo mkeo na Ndo analipia kodi wewe ulikaribishwa tu kuishi so huwezi kuleta sheria zako pale
 
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Menzi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala anapango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu ata ajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala aoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu paka natamani nichepuke au nimle huyu shemegi akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawai kazini ananiacha mimi naye naombe ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana
Kuna uzi upo humu, jamaa aliletewe rafiki wa mkewe ndani. Baada ya mda jamaa (mume) akamwambia mkewe "Nikimkuta huyu rafiki yako kesho nampiga miti anakuwa mke mwenzio" kwa maelezo yake yule mgeni hakumaliza masaa 3 akawa ameondolewa na mkewe.
 
Kuna uzi upo humu, jamaa aliletewe rafiki wa mkewe ndani. Baada ya mda jamaa (mume) akamwambia mkewe "Nikimkuta huyu rafiki yako kesho nampiga miti anakuwa mke mwenzio" kwa maelezo yake yule mgeni hakumaliza masaa 3 akawa ameondolewa na mkewe.
yapi huo uzi naukumbuka vizur sana, nafikri mleta mada inapasa atumie njia hii itamsaidia sana
 
We mgonge mke wako vizuri hapo hapo wenyewe wataondoka maana uvumilivu utawashinda wataondoka
 
INAWEZEKANAJE YANI???? HOW...nashindwa kuelewa huo ujinga wa mtu kwenda kulala chumba kimoja na mke na mume untokea wapi???? Yani mimi huyo mwanamke mbona ningeshamkulaa kitamboo... Kwanza unabadilishaje nguo???? Ilaa wasukuma wamezidi hata kama ndo kubeba ndugu huu ni useeeeee.
 
Nimeamini kweli upele humpata asiye na makucha. Sasa wewe hiyo ndio bahati wanaume wenzako tunatafuta wewe unalia lia....

Hivi unajua binadamu wana namna mbili za kuwasiliana, Verbal na non-verbal.

Mkeo kaamua kutumia lugha ya vitendo kukwambia nini anataka. Wewe unadhani yeye hajui kuwa mnachumba kimoja, au kuwa mnatakiwa privacy?!

Mkeo anachotaka hapo ni threesome. Maana yake ni kwamba wewe amekuletea washiriki, sasa unafeli vipi mwamba?!

Hapo wewe fanya hivi siku wakija nunua wine.... Au pombe kama wanataka. Wape kinywaji hadi wawe maji, wewe usilewe. Wakishalewa anza na mkeo mtindue kwenye tv weka movie ya blue. Tupia mkeo kwa minyato sana hadi waingie hamu wajoin piga pipe wote na ukimaliza usilale na nguo lala mtupu. Mkiamka asubuhi mtaelewana tu.....
 
Nilimuambia akasema marafiki wake wanashida sana na yeye awezi kuwafukuza ni watu wazima wenyewe kwani awaoni

Then wewe wafukuze..... seems kama mkeo anaogopa lawama so wewe kama Baba simamia nyumba yako. Sijui but hiyo adabu ya wapi mgeni analala chumbani kwenu???? Na kabla hajaja hapo kwenu huyo rafiki alikua wap? Ukitoka kuoga unavaa wap na yeye yupo humohumo? Get serious kidogo boss
 
Wee jamaa muoga sana yani unashindwa kupiga show kisa mtu tena kalala chini nyie wawil kitandani duh
 
Back
Top Bottom