Huyu mke wangu tatizo

Huyu mke wangu tatizo

Ila haya mambo ukihadithiwa unaweza dhania ni utani au story za kuchangamsha kikao. Ila yanatokea kweli.

Kuna mshikaji alioa kislay queen fulani cha kiswahili.

Yule binti bwana akaleta wadogo zake 4 katika nyumba yao wanayoishi, wakiume m'moja wa kike watatu. Na mama yake ambaye katika umri wake wa kama 48 hivi ana mtoto ana mwaka aisee wote akawaleta akawarundika katika kanyumba wamepanga ka chumba na sebule.

Just imagine unaishi vipi hapo..... Ila jamaa anasogeza maisha fresh tu bila shida. Anajionea sawa tu....
 
Dah waswahili tuna shida sana mkuu mtu amepanga chumba na sebule unawezaje kuleta ukoo wote huo inamana hakuna hata faragha kati ya mume na mke kwakweli ni shida
 
INAWEZEKANAJE YANI???? HOW...nashindwa kuelewa huo ujinga wa mtu kwenda kulala chumba kimoja na mke na mume untokea wapi???? Yani mimi huyo mwanamke mbona ningeshamkulaa kitamboo... Kwanza unabadilishaje nguo???? Ilaa wasukuma wamezidi hata kama ndo kubeba ndugu huu ni useeeeee.
Asee bwana wewe hata mimi nilikuwa nawaza hapa inawezekanaje kachumba kamoja alafu mtu analeta ndgu zake alafu wanandoa wakitaka wabadilishe nguo unafanyaje aisee kuna watu wana umaskini wa mawazo sana, alafu mzee wa kula kimasiara unasema ungekuwa wewe ungewat*mba hao ndugu zako sasa inawezekana hao shemeji zake na mchizi wabovu kinyama ndio mana mchizi anaona miyeyusho
 
Yeye kazini uwa anawai sana asubuhi saa 12 mimi kazini naenda saa 2 asubuhi siyo kwamba sina kazi nakaa nyumbani
Basi apo mkuu mkeo ndo mlipaji wa bill zote za nyumban...

Ila nawaza hii ktu uliyotusimulia inawezekana kweli....yaani mkeo aondke akuache na mwanamke ndani tena asubuhi...
 
Acha kuleta mada za uongo. Wewe hata hujaoa uko unazurula mitaani kama mimi. Huwezi kuoa kisha uwe legevu namna hii.
 
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Menzi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala anapango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu ata ajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala aoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu paka natamani nichepuke au nimle huyu shemegi akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawai kazini ananiacha mimi naye naombe ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana
Mkeo anakupenda sana, ila wewe hujui tu...
 
Uwa sijui ukitoka kazi unakuta mtu yupo huyu kuna siku mke wangu alienda kwao kusalimia ndio akaja naye alivyofika nikamuambia karibu shem akasema akaja kutusalimia nikajua anaondoka kesho yake ndio paka leo mtu yupo
Ujamkaza tu😂😂😂
 
Anae lipa kodi ni nani?
Na alieolewa ni nani ?
Geto la nani ?

Jijibu hapo afu fanya maamuzi ya kiume chap 😎ila kama walelewa endelea kuwa mpole jomba
 
Anae lipa kodi ni nani?
Na alieolewa ni nani ?
Geto la nani ?

Jijibu hapo afu fanya maamuzi ya kiume chap ila kama walelewa endelea kuwa mpole jomba
Chumba changu nalipa kodi mimi jamani
 
hilo mbona siyo tatizo mkuu unakwama wapi? hapo ni nyumbani kwako ni kosala jinai na sheria zote za ndoa zinakataza mke kumnyima mume unyumba sasa wewe kinachokushinda kula tunda lako ni nini? ikifika usiku zima taa kula romans za nguvu hakikisha analainia mpaka anaanza kupiga ukelele ule wa kuhitaji halafu kula mamboyakotaratiibu na jaribu kurudia kila iwezekanavyo huyu aliyelala kwenye godorochini naye nafikiri ana mume au boy friend alikotoka usijaribu kumla hata kidogo mateso atakayoyapata anaaga mwenyewe wala hafukuzwi na urafikiwao unaendelea kama kawaida
 
Mimi huu urafiki wao siutaki kabisa natamani ufe kabisa
 
Dadekiii huu ujingaa sifanyiii
Ila haya mambo ukihadithiwa unaweza dhania ni utani au story za kuchangamsha kikao. Ila yanatokea kweli.

Kuna mshikaji alioa kislay queen fulani cha kiswahili.

Yule binti bwana akaleta wadogo zake 4 katika nyumba yao wanayoishi, wakiume m'moja wa kike watatu. Na mama yake ambaye katika umri wake wa kama 48 hivi ana mtoto ana mwaka aisee wote akawaleta akawarundika katika kanyumba wamepanga ka chumba na sebule.

Just imagine unaishi vipi hapo..... Ila jamaa anasogeza maisha fresh tu bila shida. Anajionea sawa tu....
 
Asee bwana wewe hata mimi nilikuwa nawaza hapa inawezekanaje kachumba kamoja alafu mtu analeta ndgu zake alafu wanandoa wakitaka wabadilishe nguo unafanyaje aisee kuna watu wana umaskini wa mawazo sana, alafu mzee wa kula kimasiara unasema ungekuwa wewe ungewat*mba hao ndugu zako sasa inawezekana hao shemeji zake na mchizi wabovu kinyama ndio mana mchizi anaona miyeyusho
Itakuwaa ndo maana jamaa anaona jau tu
 
au tumia kichwa cha chini kutatua hili tatizo mkuu,maana cha juu kinaona aibu
 
Mimi huu urafiki wao siutaki kabisa natamani ufe kabisa
huo urafiki wewe usikuumize kicwa na hauwezi kkuisha maana huwezikujua mkeo analipa fadhira pengine na yeye walimvusha kwenye kipindi fulani kigumu haya ni maisha tu sasa wewe nja hiyo hapo juu niliyokupa tunda unakula kama kawaida na yeye akishuhudia asipoondoka huyo ana moo wa chuma
 
Back
Top Bottom