smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,408
- 2,844
Suretena asiondpke kabisa, maana mke wake katoa ruhusa rafiki yake alale... hapo hakuna tatzo ni kujilia vitu vyako

Mmmh!! Si hapohapo aongeze kupanga Chumba #2 awaweke maSwahibat !!Hebu niuulize we ndo unalpa kodi?
Japo sidhan kama we ndo mlipa kodi a man can't be stupid to this level sio bure utakua huna kazi unamtegemea uyo mkeo 100% uza smartphone unayotumia katafute chumba Cha 10000 tafuta mkeka lala anza na upya maisha like a man
Umeongea kwa uchunguWe kaka ni mpole jamani. kuwa mkali
Wewe sasa uwe unagonga hao marafiki zake. Problem solved.
Jamaa alichukua ushauri wako bwana...Tafuta nyumba ndogo mwache mkeo ajivinjari na marafiki zake, ipo siku akili itamrudia tu. Bado hajakua huyo.Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.
Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .
Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu
Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye
Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
Chumba kimoja mnalala wote na Shemeji au sioJamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.
Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .
Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu
Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye
Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
Mke umemtoa gheto afu unakasirika akiendeleza maisha hayo? C'mon, sio jukumu lako kumbadili mtu mzima. Kupanga ni kuchagua.Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.
Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .
Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu
Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye
Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
😂😂😂 nilijua tu wasukuma wana katabia hako..!! pole sana kula huyo rafiki yake nina uhakika 100% hakataiMke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini