Huu utamaduni ni wa aina yake!Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini
Tena mbele yake ili aone ubaya wa kuleta marafiki zake.Wewe sasa uwe unagonga hao marafiki zake. Problem solved.
Hahahaha.Mleta Mada Utatupa Tabu Sana October 28
Najua Hutaweza Kuchagua Jema
Hiyo si ndoa itakufa mkuuTena mbele yake ili aone ubaya wa kuleta marafiki zake.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Uwa namuambia ata kwa mafumbo wala anielewiPole sana bro, familia ni mume, ukisema big No hakuna wa kupinga, mueleze kistaarabu kuwa hao marafiki ndo wanaweza kuvunja hiyo familia asipoangalia. Mkeo kama anachukulia poa, ongea direct na rafiki ake/zake waambie hapo sio kituo cha kupokea wenye matatizo wakatafute sehemu nyingine.
Kaza sura, kaza sauti kwa amri ya kiume..
Order ni order haipingwi....
Pole sana bro...
Ni mvivu mke wangu anaenda kazini yeye amelala akirudi anamkuta kalala yani ata vyombo ajaosha juzi mke wangu alikuwa ni zamu yake kufagia nje na kudeki choo akamuomba msaidie kufua nguo zilikuwa ameloweka yeye akifanya hizo kazi akasema wezi kufua wakati sisi tumevaa nilishangaa kwasababu mwezi anakula bure analala bure paka pesa ya kusuka anapewaSi umle? Sasa kama anakaa kwako, mvivu, Nyumba ndogo! Unafanyaje? Unamla mke akijua hatowaleta tena!
Kumla naona noma mke wangu anaweza kuleta balaa
Mama yake alishafariki nilimuambia mama yake mdogo na dada yake ila ata naona kama aikusaidia chochote
Hapo chacha....Kama kichwa Cha familia unashindwa tatua kijitatizo kidogo makubwa utayaweza kweli...!!
we kaka ni mpole jamani. kuwa mkali
Duh aisee ndo nasikia Leo, hivi unawezaje,Mke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini