Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
poa Mkuu ukiona hivyo ujue ww ni significance humuPengine labda walichanganya tu majina ya ID mkuu....
Hahahaha...hawakawii kuandika tena mzuka wa Watu8 umeibuka JF...(kidding)
poa Mkuu ukiona hivyo ujue ww ni significance humuPengine labda walichanganya tu majina ya ID mkuu....
Hahahaha...hawakawii kuandika tena mzuka wa Watu8 umeibuka JF...(kidding)
Pengine labda walichanganya tu majina ya ID mkuu....
Hahahaha...hawakawii kuandika tena mzuka wa Watu8 umeibuka JF...(kidding)
Wewe uki-rip moyo wangu utafahamu na kuutaarifu ubongo wangu.
Mzima kaka?mwaka wako huu
Mzima wa afya aisee shukrani kwa Muumba...long time no see...mwaka mpya umeanzaje kwako?
I see basi huwa haingii humu jf...Amejaa Tele na Bulogu yake ya Round About.
Punguza kujificha banaMzima wa afya aisee shukrani kwa Muumba...long time no see...mwaka mpya umeanzaje kwako?
Punguza kujificha bana
Unacheza na nani hiyo kombolela lakini?Kwa kweli inabidi niache kucheza hii kombolela...habari ya mwaka mpya?
Wengine ni Members watiifu wa lile kundi la Vijana 46 wa February Ma-Rope maarufu kama #TeamLumumbaBukuSabaFc. Kwa hiyo hua wanaibuka tu kipindi cha ile Miaka inayogawanyika kwa 5 kama vile 2000, 2005, 2010, 2015 etc.Sizinga , Rejao, sumbai, wembeee, Watu8, jtwentytwo, Gobe, BadiliTabia, Ruttashobolwa, Afande Fojuman, annito, Raimundo, worldboss, LEGE & Aragon nawasalimu with Love :grouphug:
adolay , nashukuru kwa kukumbuka hilo. Msiba wa Mtoi, ilikuwa pigo, ni pigo na itaendelea kuwa pigo. Uliniuma mno msiba wake. Lakini Inshaallah, Mungu ni mwema na everything happens for a reason.
Unacheza na nani hiyo kombolela lakini?
Mwaka mpya magu anakaba ndani nje yani
Sasa anakaba mpaka tunakosa vi offer offer banaAcha akabe kidogo watu tuwe wazalendo kidogo...
Nilijua nacheza nawe kombolela ujue...
roooooger!!!!!!!!!!well noted siratakuwa ni mjamzito, so ujauzito wake unapelekea kuichukia jf, so nimeongea naye amesema atakuja, akishajifungua.OVER
Cc😡dana amsiMi nimemiss @Deni_ansi