Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
- Thread starter
- #41
@Konda wa Bodaboda naomba nikiri kwamba kichwa kimekuwa kikubwa hadi kidondoke kwa kukumbukwa na wadau kama ninyi. I am sincerely humbled.:humble::humble:
Ni kweli kwamba sijashiriki kitambo, ila tu ni tokana na kujiingiza katika suala ambalo kwa namna moja ama nyingine lilichangia mimi kushindwa kushiriki kikamilifu hapa. Ila sasa nashuruku kwamba nimeweza ku adjust na sasa nafanya jitihada za kushirikiana na my fellow members. Si sababu wewe umesema hapa na mimi nasema nimewa Miss na nime Miss kuwa hapa. Nime miss mno
Kunifahamu kwa uhalisia, ilo tuliache kwa siku nyingine. Ila nishukuru kwa mara nyingine kwa kunikumbuka na kuniita hapa.
Pamoja Saana!
Uwepo wako tu hapa jf unatosha, mimi nilihisi labda umesahau password ya kuingilia jf.😀😀