Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 832
Kwa kweli huyu Asha Dii ana hekima na busara.
atakuwa ni mjamzito, so ujauzito wake unapelekea kuichukia jf, so nimeongea naye amesema atakuja, akishajifungua.OVER
Wewe umejuaje mkuu? Mbona mimi siyajui hayo?Aaaaah!! Nimegundua wewe ndiye mwenyewe, Paw aje kubisha kama uongo.
Huyu member ana mchango mkubwa sana kwenye baadhi ya majukwaa hapa JamiiForums.
Kule jukwaa la chini na hapa MMU kuna nyuzi nyingi tu alizoshiriki na si tu kushiriki bali michango yake imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasomaji wa masuala ya mahusiano na mapenzi.
Kila nikifungua jukwaa la MMU naona jina lake kwenye restricted thread.
Pia si vibaya kumfahamu kwa uhalisi wake japo nimekuwa nikihisi huenda ni mmoja wa mods au ni ex-moderator, au labda ameamua kubadili ID, japo sijaona member wa sasa anayetoa points za maana kama yeye ikiwa alibadili username.
Cc: Invisible, Paw, Moderator.
atakuwa ni mjamzito, so ujauzito wake unapelekea kuichukia jf, so nimeongea naye amesema atakuja, akishajifungua.OVER
Konda wa bodaboda, AshaDii yupo. Tumemficha kwa sababu za kifamilia.
I miss her too kwa kweli.
Cc Kaizer
Asante kwa kufikisha salamu Mtoto Kitaa.. Nishajifungua hivyo sasa tatizo lisha isha :wink:
Bora umerudi na roho zetu zimepata ahueni
Pamoja sana
@Sizinga , Rejao, sumbai, wembeee, Watu8, jtwentytwo, Gobe, BadiliTabia, Ruttashobolwa, Afande Fojuman, annito, Raimundo, worldboss, LEGE & Aragon nawasalimu with Love :grouphug:
@adolay , nashukuru kwa kukumbuka hilo. Msiba wa Mtoi, ilikuwa pigo, ni pigo na itaendelea kuwa pigo. Uliniuma mno msiba wake. Lakini Inshaallah, Mungu ni mwema na everything happens for a reason.
Miss you sana hapa AshaDii ...Welcome back..Sizinga , Rejao, sumbai, wembeee, Watu8, jtwentytwo, Gobe, BadiliTabia, Ruttashobolwa, Afande Fojuman, annito, Raimundo, worldboss, LEGE & Aragon nawasalimu with Love :grouphug:
adolay , nashukuru kwa kukumbuka hilo. Msiba wa Mtoi, ilikuwa pigo, ni pigo na itaendelea kuwa pigo. Uliniuma mno msiba wake. Lakini Inshaallah, Mungu ni mwema na everything happens for a reason.
Na mwingine anaitwa Cantalisia