Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Ngoja tumwite mkurugenzi wa takwimu dr chuwa aje atuletee takwimu kuwa hawa wadudu wako kwa asilimia ngapi maana naogopa kuropoka hahahhaha!
Wonders shall never end! Maliasili waje wamchukue hahahaahNi ishara ya Uongozi mzuri (bora) uliopo Madarakani, maana katika Utawala huu ndio tumeshuhudia Tetemeko (Kagera) kukamatwa (kupatwa) kwa Jua na sasa Mdudu huyo wa Ajabu...!
Waite watu wa Mali Asili wakamuhifadhi kama moja ya kivutio nchini..
Kwa sababu gani
Mkuu,
Ana Majina Mengi huyo Mdudu, Kutegemea na Jamii husika.
Anaitwa Playing Mantis, Vunja Chungu,September 9 N.k
Wakati nakuwa tulicheza nae sana, Huwa wanapatikana sana kipindi cha masika.
Ni mdudu mstaarabu sana, hana papara wala Fujo, Watu wengi wanampendea ile style yake ya kujihami yaani ananesanesa na kuweka pozi za kung fu hivi, Inavutia sana.
Me Nina hamu nimuone maana sijamuona kitambo sana zaidi ya miaka 10 now.
Iringa nako kiboko, hawana tofauti na wachinaHuyu vunja chungu analiwa Iringa, yaani kama senene kwa wahaya.
Iringa nako kiboko, hawana tofauti na wachina
Hakuna mdudu wabaraka wewe fanya kazi jitume muombe muumba wako ukitegemea wadudu na vinyangarika vingine bila kupiga kazi utalala njaaNimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.
Kuna yeyote anajua kuhusiani na huyo mdudu atueleze.
View attachment 654917
Nilikua na mlenga na maweSasa unasema kwamba ulikuwa ktk harakati za kutaka kumuua,INA maana ukawa unatafuta silaha mbalimbali za kuulia au harakati gani??
Tanga huku Wazigua ndio waliniambia hivyoWenyeji wa waoi waliokuambia hivyo??tuanzie hapo
Nimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.
Kuna yeyote anajua kuhusiani na huyo mdudu atueleze.
View attachment 654917
HawaliwiWanaliwa??
ukiwala wanaleta madhara yeyote?Hawaliwi