Mfuge uje uwauzie wachina.Nimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.
Kuna yeyote anajua kuhusiani na huyo mdudu atueleze.
View attachment 654917
Wabongo bhana wepesi wa kuhusisha vitu na ushirikinaAcheni imani potofu kuna maelfu ya aina za wadudu kwaiyo sio kila mdudu unamjua au ushawai kumuona uyo ni mdudu Kama wadudu wengine tu
Kabsaa mdau. Praying mantis si praymantis, cricket si cricket, ni specie mpya ambayo sijaiona pamoja na kungalia series nyingi za animal planet na natgeowild.New Specie hyo
Ni uongo na uoga tu, mimi huwa nawakamata mara nyingi tu na hutokea sana wakati wa masika.Naskiaga tu kua haguswi sasa sjajua kwanini.Nami nahitaji kujifunza leo
ungekuwa una soma yoga na elimu ya kisayansi asili ya kibinadamu.ungepata kujua.mshana jr hatakujaNimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.
Kuna yeyote anajua kuhusiani na huyo mdudu atueleze.
View attachment 654917
Wanaliwa??Ni uongo na uoga tu, mimi huwa nawakamata mara nyingi tu na hutokea sana wakati wa masika.
Sijawahi sikia ila anaweza kuwa mtamu sanaWanaliwa??