Huyu mdudu ana maana gani?

Huyu mdudu ana maana gani?

"Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.".....,
MWISHO WA KUKUNUKUU.

Sasa kwanini usimuulize huyo Mwenyeji uliyemtaja akufafanulie zaidi?
 
alishindwa kunipa maelezo yakutosheleza pili alikua na harak.... ndio maan nikaj huku jf coz naamini kuna wanaojua zaid
 
Naskiaga tu kua haguswi sasa sjajua kwanini.Nami nahitaji kujifunza leo
nimewahi mgusa alining'ata balaaa

ilitokea katua kwenye mkono, kuangalia ivi vunja chungu....katika pilika pilika za kutaka kumtoa ilitokea nilimshika vibaya sijui nilimuumiza...alining'ata hatari

sikumuua wala kumpiga maana toka zamani nilikua naambiwa hapigwi yule

ila sijui kwa nini huwa hapigwi
 
duh pole sana ...vipi ana sumu?
 
nimewahi mgusa alining'ata balaaa

ilitokea katua kwenye mkono, kuangalia ivi vunja chungu....katika pilika pilika za kutaka kumtoa ilitokea nilimshika vibaya sijui nilimuumiza...alining'ata hatari

sikumuua wala kumpiga maana toka zamani nilikua naambiwa hapigwi yule

ila sijui kwa nini huwa hapigwi
unajua nimgonga jiwe ndio nikatafuta jiwe la pili nimmalizie ndio huyo mwenyeji wa kijiji katoea
 
● Huyu ni mdudu jamii ya Insecta.

Ana majina mengi kutokana na jamii mbalimbali. Kwa mfano

- Tisa December (9/12)

- Vunja chungu

-Mla masikio n.k

Jamii inayowatukuza haswa ni Wachina na ilianzia miaka ya zamani sana wakati wa uasisi wa Martial Arts huko China.

Wazee wengi waalimu wa martial arts hasa KungFu wanaamini kuwa huyu mdudu anamwongoza mtu katika KungFu styles na vitu vingine vingi na ukimsogelea siku zote huwa anajihami kwa style kama binadamu.

Ukienda kwenye Dojo nyingi sana za wachina utakuta wanawafuga hawa wadudu au wana picha zao.

Aina nyingine ya viumbe wanaowatukuza ni Kasuku (Parrot) na Nyoka tangu enzi na enzi.
 
Mkuu kwa kumpiga picha tu tayari una mkosi...
 
Nimeamk asubuhi nikakuta huyu mdudu yupo kwenye mawe jirani na mlango.... Nikiwa katika harakati za kutaka kumuua akatokea mwenyeji wa huku nilipo akadai huyo mdudu ni wa baraka nisimuue, hakuishia hapo akaongezea kuwa huyo mdudu ana akili kuliko binadamu na wachina wanaongeaga nao kwa ishara.

Kuna yeyote anajua kuhusiani na huyo mdudu atueleze.
View attachment 654917

Ningekuwa Kigoma ama Rukwa ningehama hiyo nyumba.
 
huyo ndio bruce lee sasa kama humjui,mtafute mwenzake uwaweke pamoja utaona bonge la muvii.
 
Unasemaje anaakili kuliko wewe teh teh..
Hamna kiumbe chenye akili kuliko binadamu huyo mdudu in jamii ya kivunjachungu wapo wengi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom