Huyu mama mkwe simuelewi

Huyu mama mkwe simuelewi

Hili listori la uongo...kwanza unafikiri Kama baba kafariki, halafu hata Kama ni mtu wa mazoezi namna gani, huwezi kurukaruka kwa wakwe na viguo vinavyokuonyesha ulivyojijenga.....wewe umeenda jando la wapi???
 
Nikweli upo njia panda mkuu, njia moja inaelekea kwa shetani(kumla mama mkwe) na njia nyingine kwa mungu(usipomla mama mkwe), sasa basi, kweli kati ya njia hizo mbili unatafuta wa kukwambia uiendee njia ipi?
Anyway, halafu huyo unaemuita wife, huku hujui kama baba yake alishafariki bali unafikiri?!!!
Karibu katika fani ya utunzi wa hadithi, boresha kiwango tutanunua vitabu vyako
 
*_Wanawake bwana kwa kulalamika eti "ooh nimebeba mimba miezi tisa" Sisi mbona tumebeba mapumbu tangu wadogo na Adi Sasa hatulalamiki_*

*badilishen kauli*
Acha kufananisha mimba na vitu vya kijinga
 
Uongo kitu kibaya sana...
Pia, huwezi kwenda ukweni ukalala, hilo halipo...!! Alafu uamke asubuhi hata hukujui uanze mazoezi na umeenda kwa siku 2 au 3.. Alafu, ukiwa mzinzi, utatafuta support ya uzinzi huku ili moyo wako uone uko sahihi, unamsingizia mama mkwe, huenda umemuona, sasa umewaza hayo, unataka kumtongoza, sasa unataka michango ya watu huku uone itakuaje.. Huna akili ww, na sio mwanaume matured, ni mvulana, kata k..!!
To be frank with you, unasema uongo mtupu... mama mkwe hawezi kukwambia tukutane hoteli fulani... wakati hamjaongea chochote..
It seems ww ndio unamtaka, huenda umetumia kila mbinu, labda ashakuzoea, ukaanza mtongoza...

Na utakufa kibudu... keep on.. uchafu huu..!!
 
Hapo pa kulala ukweni ndio nimekuona mjinga katika hiyo story yako
 
huyu mleta mada anatuchukulia sisi kama watoto wenzie, jinga kabisa
 
acha kabisa kakaangu hiyo ni laana huwa inaenda kizazi hadi kizazi we mpotezee tu
 
Mpe muhimize mama mkwe kuchat nae kwa msg. Then mpe taarifa mkeo kuwa mama yake anataka kukutana nawe. Ye afanye kuwakuta eneo la tukio. Solution watapata wao huku wewe ukiwa pembeni unawatazama.
 
*_Wanawake bwana kwa kulalamika eti "ooh nimebeba mimba miezi tisa" Sisi mbona tumebeba mapumbu tangu wadogo na Adi Sasa hatulalamiki_*
*badilishen kauli*

Haah...haaaah....haaaaah!!
 
Eti unafanya mazoezi ukweni kadanganye watoto wenzio sio kuleta thread ambayo haina kichwa wala miguu hapa.
 
anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo

Yaani hujui kama baba mkwe wako ni marehemu ama lah!! Kuna Tatizo kwenye ndoa yako ndy maana unamtamnai mama mkwe wako.
Mkuu umenisaidia ku capture hapo hiyo ni story ya kufikirika tuu huwezi ukawa hujui Baba mkwe status yake...
 
Pengine ushamdindishia Jamaa, naamini unataka kumpiga nao, hapa unatafuta Ibilisi wenzako kama 10 tu wa kukusapoti huo upuuzi, acha hizo, mwambie nae wewe sio loose ball, man utajipotezea heshma ktk jamii
 
Wana Jamvi kwema,

Niko Nyumbani kwa kina wife nimekuja kidogo kusalimia upande wa ukweni ni siku ya pili sasa nipo hapa ukweni, Wife anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo.

Sasa wakati naleta mahari ukweni mama mkwe aliniomba namba za simu mimi sikuwa na hofu nilimpa ni takribani miaka miwili kwanza nikili huyu mama mkwe ni mama wa mjini haswa alipochukua number nilianza mawasiliano nae.

Japo sikumpa attention wala sikuwaza kama ataleta hizi habari anazoniletea sasa, Jana nimeamka hapa ukweni nikaanza kuchukua mazoezi nje asubuhi sana huwa ni kawaida yangu nilishangaa mama mkwe anatoka na kanga tu kwenye fance.

Nilihisi aibu nikawa kama natroat aliniita tukasalimiana kisha akaanza kunisifia nilivyojengeka kimwili nilishangaa kwa kweli nilivuta picha na text zake za nyuma alizokuwa ananitumia mara moja nikajua huyu kadata na pengine pale kunikuta napiga tizi alikaa kidogo hapo nje na kurudi ndani mwanae asishtuke.

Sasa leo kanitext kuwa anamaongezi na mimi kesho saa nne asubuhi hotel fulani nimemjibu hivi mwanao atakuelewaje kanijibu nutamtuma sehemu naomba tukutane.

Nimemkomalia kumuliza kwani anashida gani adai ataniambia kesho, sasa wadau niende.
Wewe mwehu, uende wapi. Haumwoni huyo shetani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom