Huyu mama mkwe simuelewi

Huyu mama mkwe simuelewi

kwanini ukatae wito wewe mwiitike.. atakachokwambia ndo uonyeshe msimamo wako
 
Wana Jamvi kwema,

Niko Nyumbani kwa kina wife nimekuja kidogo kusalimia upande wa ukweni ni siku ya pili sasa nipo hapa ukweni, Wife anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo.

Sasa wakati naleta mahari ukweni mama mkwe aliniomba namba za simu mimi sikuwa na hofu nilimpa ni takribani miaka miwili kwanza nikili huyu mama mkwe ni mama wa mjini haswa alipochukua number nilianza mawasiliano nae.

Japo sikumpa attention wala sikuwaza kama ataleta hizi habari anazoniletea sasa, Jana nimeamka hapa ukweni nikaanza kuchukua mazoezi nje asubuhi sana huwa ni kawaida yangu nilishangaa mama mkwe anatoka na kanga tu kwenye fance.

Nilihisi aibu nikawa kama natroat aliniita tukasalimiana kisha akaanza kunisifia nilivyojengeka kimwili nilishangaa kwa kweli nilivuta picha na text zake za nyuma alizokuwa ananitumia mara moja nikajua huyu kadata na pengine pale kunikuta napiga tizi alikaa kidogo hapo nje na kurudi ndani mwanae asishtuke.

Sasa leo kanitext kuwa anamaongezi na mimi kesho saa nne asubuhi hotel fulani nimemjibu hivi mwanao atakuelewaje kanijibu nutamtuma sehemu naomba tukutane.

Nimemkomalia kumuliza kwani anashida gani adai ataniambia kesho, sasa wadau niende.
"Dont even think about it"
 
Mimi sio shabiki wa huko kaka,Mbele patosha sans
mbele hiyo alipotokea mkeo!>?
WE KAGONGE TU AU ENDELEA TU KULA NA DAFU NA MAJI YAKE!
USITAFUTE WA KUKUSAFISHIA DHAMIRI YAKO HAPA!
GONGA NGOZI BASI !
eng si ndo uantaka uambiwe hivyo !
kapige tu best!
mkunje kisawasawa mpka asahau kaburi la mumewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom