Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,128
- 8,378
Hayo maslahi yake binafsi ni yapi?kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa kuliko marais wote
Hebu weka wazi ili tumfahamu zaidi.
Hayo maslahi yake binafsi ni yapi?kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa kuliko marais wote
Usicheke dada, huo ndo ukweli...watu wengi wakifa vya uridhi hua havikai...unafanya alot of sucrifices, hela ya kula bata dubai or Znz unasema ngoja nifanye saving or ninunue viwaja, nijenge wanangu wapate pa kujisitiri siku za mbeleni, unagombana na madalali, mafundi, unashinda juani site...the first thing they do ukifariki wanaamua wauze kila mtu akamate chake, then pesa ya mgao wao ndo wanaendea znz or dubei...
JPM alipunguza sana safari za nje ili pesa za safari atuletee maendeleo leo mama ndani ya miezi mi5 keshampita kwa safari za nje alizofanya zote ktk kipindi cha miaka mitano( safari za nje 9-8, nje ya Africa 1-0)
JPM kutwa alikua site kuangalia miradi na kupambana na wakandarasi or yupo on road kuskiliza kero za wanaichi na kuzitatua on the spot...Mama yeye kutwa yupo km sio safarini basi kaalikwa Sehem. Kifupi ni km anakula bata.
We lead by example, yy akiwa hivyo ht watu wa chini yake watafanya the same, na hatakua na moral authority ya kuwakanya.
Tupate mwingine tena kama yuleeee! Mungu hajatuchoka.Nyakati nzuri hujirudia tusikate tamaa tutapata mwingne
Mungu wetu anasikia machozi yetu yanaishia mioyoni ni wengi wanaomlilia kimya kimya
Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.
Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.
Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
Unataka tena mtu aina ya jiwe wa kuwalimisha watu kwa meno?! Mmechanganyikiwa nyieNyakati nzuri hujirudia tusikate tamaa tutapata mwingne
Mungu wetu anasikia machozi yetu yanaishia mioyoni ni wengi wanaomlilia kimya kimya
Alikua anapigana vita ya peke yake...
hii kitu imenifanya nianze kujitazama upya the way nnavyoishi na mipango yangu...
habari ya kujibana huli goodtime ili kufanya investment za familia, siku unaondoka huku nyuma watu wanatapanya, hawakumbuki how much sucrifices you put it on to make things stand.
Mbona Pro Assad alipoibua ufisadi wa 1.5b alitumbuliwa kabla ya muda wake kustaafu huyo mtu aliogopa nini kumfuatilia huo ufisadi kama sio yeye ndio anahusikaUsicheke dada, huo ndo ukweli...watu wengi wakifa vya uridhi hua havikai...unafanya alot of sucrifices, hela ya kula bata dubai or Znz unasema ngoja nifanye saving or ninunue viwaja, nijenge wanangu wapate pa kujisitiri siku za mbeleni, unagombana na madalali, mafundi, unashinda juani site...the first thing they do ukifariki wanaamua wauze kila mtu akamate chake, then pesa ya mgao wao ndo wanaendea znz or dubei...
JPM alipunguza sana safari za nje ili pesa za safari atuletee maendeleo leo mama ndani ya miezi mi5 keshampita kwa safari za nje alizofanya zote ktk kipindi cha miaka mitano( safari za nje 9-8, nje ya Africa 1-0)
JPM kutwa alikua site kuangalia miradi na kupambana na wakandarasi or yupo on road kuskiliza kero za wanaichi na kuzitatua on the spot...Mama yeye kutwa yupo km sio safarini basi kaalikwa Sehem. Kifupi ni km anakula bata.
We lead by example, yy akiwa hivyo ht watu wa chini yake watafanya the same, na hatakua na moral authority ya kuwakanya.
Jiue umfuate crazy mwenzioKifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.
Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.
Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
Alikua anapigana vita ya peke yake...
hii kitu imenifanya nianze kujitazama upya the way nnavyoishi na mipango yangu...
habari ya kujibana huli goodtime ili kufanya investment za familia, siku unaondoka huku nyuma watu wanatapanya, hawakumbuki how much sucrifices you put it on to make things stand.
amebaki skeletoni. Yeye ndio kaharibu hata ile asilimia ndogo ya wana ccm waliokuwa na akili.Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge.
Leo hii mafisadi wakubwa amabao bunge la JMT lilithibitisha kuwa walituibia bil 300 na ushee wanaachiwa hovyo. Hii ni picha kuwa kiongozi huyu alikuwa anapinga ufisadi huku wenzake hawafurahii jitihada zake.
Hii ni picha mbaya sana kwa taifa linalojinasibu kupinga ufisadi chini ya mwamvuli wa Ccm
He was the worst president on earthSiipendi CCM kutokana na ubabe wake wa kibaki madarakani
Ila Magufuli alinifanya nichukie CCM zaidi
Magufuli alikuwa ni Rais aliyetumia madaraka yake vibaya, aliyevunja katiba kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa kuliko marais wote Tanzania
Jiwe alikuwa jizi lilokubuhu. Alikuwa anadanganya majinga yanayojiita wanyongeMbona Pro Assad alipoibua ufisadi wa 1.5b alitumbuliwa kabla ya muda wake kustaafu huyo mtu aliogopa nini kumfuatilia huo ufisadi kama sio yeye ndio anahusika
Tumuibulie nani? ameacha mafisadi wengine kibao.He is gone now...mnasubiri nn kuibua ufisadi wake?