huyu kijana nimfanyeje

Fanya maamuzi magumu!Haiwezekani mtu anahatarisha uhuru wako akawa bado rafiki yako.
 
Mkuu vumilia tu, kama analeta dame huyo huyo mmoja na habadilishi vumilia tu, kwani wanakuzuia nini mzee? Wewe huwa unaleta shemeji pia hapo?

By the way si kwa muda tu, mwakani mwambie a make sure anapata chumba maana hicho chako kutakuwa na issue utafanyia, ishia hapo hapo.

EKSELLENTO sokwe mjanja. Pia mimi yananikumba hayo hayo, na wisdom yangu imenituma kumwambia mdogo wangu wa hivyo hivyo hayo hayo.
 
Mkuu, Huyu jamaa atakaposhindwa shule( a.k.a akikamatwa) ujue wewe ndie uliesababisha. Kitendo cha wewe kuchelewa kumpa ushauri mwafaka, au kumtimia kama ukiona inafaa, kitasababisha yeye kufeli............... Tafakari,............... chukua hatua.
 
Anza kumchapia mademu zake anaowaleta hapo home, atakasirika kisha ataamua kuhama mwenyewe..
 
Ongea nae kaka ili muwe katika ukurasa unaofanana! mwambie jinsi ilivyo, nyeusi na nyeupe! usiweke gray area!
Ila nnachojiuliza ni kwamba, kwa nini hajaogopa kufanya hivyo sehemu ambayo amekaribishwa tu?! malezi yake?! ukaribu wenu?! au tabia zako pia?! sina hakika najiuliza tu!! Ila kwa mtazamo wangu naona yuko kwenye gray area ya mfumo wenu au tuseme mfumo alioukuta!! ujue mara nyingi watu huendana na mfumo uliopo!
 
tell him the truth kwamba hupendi tabia yake na abadilike (kwa ufupi hukua na haja hata ya kuja humu -hilo swala lipo straight forward kabisa) he either abide to your rules - kama hukuweka rules sasa ni wakati muafaka wa kuziweka, kama akishindwa timua!
 
mpe warning huyo kijana,ili siku ukiamua kumtoa hapo aje kujilaumu yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom