Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

ningempa nyumba moja na pesa za matumizi kila mwezi alafu namuacha hivo
Umpe hela zako akanywee gesti na vibuzi uchwara?
Jamaa kinachomuuma Ni kitanda alichonunua Bei mbaya na nyumba ya Bei mbaya inatumiwa na vi benten viosha miguu na kupaka rangi kucha
 
Asilimia 99 hawa wanawake wanaumizwa sana na wanaume pindi wanapofanikiwa. Nina ushahidi vigogo wengi wa serikalini wana ukwasi wa kutisha sana lakini vyote wanaandikisha ndugu zao sasa kifo kikimfika mwanamke na watoto wanahangaika kwa ulafi wa Mwanaume. Huyo mama kafanya jambo jema sana.
Tell them..
Wanatuonea kinyama.mnyonge mnyonge I lkni haki ake mpeni.

Kila kukicha wanaume wanalalamika kuhusu wanawake kuwaumiza...na sisi hatulalamiki...wanafikiri tunasemea wapi...mnatutesa sana you men
 
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.

Tayari maji yeshakorogeka
 
msimlaumu huyo mwanamke, jamaa ndio kazingua sio vizuri kumfukuza mwanamke uliyepambana nae kutafuta maisha
na sasa hivi jiwe ana hasira sana atapita na kichwa hiko cha jamaa
Huyu jamaa nae ni kiazi kweli
 
Tell them..
Wanatuonea kinyama.mnyonge mnyonge I lkni haki ake mpeni.

Kila kukicha wanaume wanalalamika kuhusu wanawake kuwaumiza...na sisi hatulalamiki...wanafikiri tunasemea wapi...mnatutesa sana you men
Unaweza kukutaka hapo kamchoka tu kapata mtu mwingine analeta dharau mpaka kwa mtu aliyetoka nae mbali. Kwanini siku zoote katunza siri anaona atapoteza kila kitu. Wanaume tukishafanikiwa tunasahau tulipotoka na aliyekuwa nakufulia pichu yako.
 
Mmh kakosea kulipua aisee wangemaliza tofauti zao huko na si kupeleka kwenye medias! Wapunguze hasira watakuja kujutia baadaye hayo maamuzi yao.
Sijui kwa wanawake lkn kwa wanaume wakigundua mwanamke ame cheat Tena na vibuzi Marika swala la kumaliza kimya kimya halipo. Yaani mwanamme anamuona mwanamke aliye cheat Kama mzoga wa mbwa Koko uliooza
 
Tell them..
Wanatuonea kinyama.mnyonge mnyonge I lkni haki ake mpeni.

Kila kukicha wanaume wanalalamika kuhusu wanawake kuwaumiza...na sisi hatulalamiki...wanafikiri tunasemea wapi...mnatutesa sana you men
Hapana pande zote tuna tesana
Wapo wnawake washnz na wapo wanaume wshnz

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kufanya kazi TRA Ni utumwa. Inawezekana dogo kanunua Ile nyumba kwa pesa halali kabisa, lkn sasa hivi wengi wanajua Ni pesa ya rushwa, halafu Kuna nyingine Tuangoma na Tabata n.k
Nadhani Takukuru na mabosi wa TRA wameshamfungulia dogo faili.
Sasa hivi hata dogo akinywa Malta Kuna mtu anapiga picha.
Si unahojiwa mzee lete stakabadhi umejenga kwa gharama zipi, pia uonyeshe kama uba mikopo nk basi, ila ukiwa na akili na kama mpigaji basi unachukua tu mkopo wa uongo na ukweli,
 
Hii itamtafuna huyu ndugu, maana siku hizi serikalini unatakiwa utaje mali zako halali sasa kama unaongopea serikali hii lazima imtafune
 
Huyo mama kakutana na kauzu.

Na kikubwa ni kuwa mama hataki kukubali kuwa ndoa yake haipo tena.

Angekubali mbona rahisi tu? Mahakamani, talaka na kisha mgawanyo wa mali kwa mujibu wa sheria na mchango wa kila mmoja kuzitafuta mali hizo.

Vinginevyo hata mimi ningekuwa huyo mume, kwa sasa ningefunga milango kbs. Maana alichofanya maza ni ugaidi dhidi ya familia. And you know, "we do NOT negotiate with terrorists".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom