Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Kufanya kazi TRA Ni utumwa. Inawezekana dogo kanunua Ile nyumba kwa pesa halali kabisa, lkn sasa hivi wengi wanajua Ni pesa ya rushwa, halafu Kuna nyingine Tuangoma na Tabata n.k
Nadhani Takukuru na mabosi wa TRA wameshamfungulia dogo faili.
Sasa hivi hata dogo akinywa Malta Kuna mtu anapiga picha.
 
Siri ambayo mwanamke anaweza kuitunza Ni Ile ya mabaya aliyofanya yeye binafsi Kama vile kutoa mimba akiwa student au kutembea na ndugu wa karibu, lkn Kama uliiba mipesa huko TRA mkazificha hiyo ujue sio Siri.
Tunaweza kutunza siri za aina yoyote, ila msituudhi tu.
Zinazotuhusu wenyewe binafsi hizo kwa kweli hatutoi ng'o!
 
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.

Laana za kuidhulumu hela za watu. Maafisa wa TRA wengi wanaishia kwa kudhulumu hela za watu kwa kisingizo cha kukusanya kodi
 
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
Yani siku hizi TBC inaonyesha migogoro ya familia ya mtu??
 
Halafu
 
msimlaumu huyo mwanamke, jamaa ndio kazingua sio vizuri kumfukuza mwanamke uliyepambana nae kutafuta maisha
na sasa hivi jiwe ana hasira sana atapita na kichwa hiko cha jamaa
Hizo ni tabia za wale ambao hawana mchango wowote kwenye upatikanaji wa hivyo vitu.
Mwenye mchango angepambana kimya kimya asingethubutu kwenda kumuanika kwenye vyombo vya habari hasa katika utawala huo mlio nao, sababu kwenye utawala huo ni mwendo wa kufilisiwa hata yeye na watoto kuishia kupigika tu kwa kutoambulia kitu.
 
Huyo baba 'vyombo' lazma vitaruka nae
Mama ndo atajua hajui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom