Maili tatu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 830
- 1,079
Jipu limetumbuka kabisa,
Waliofanya mapinduzi ya kumng'oa aliyepambana na jamaa... I mean huo mchepuko uliojitanuaUkisema "hawana mchango' una maana gani?
Achana na hizo riferensi za diamond mkuu..Huwezi jua hata hao watoto usikute kabaini sio wake .Refer,diamond,mzee Abdul and the nyange
[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Wiki ya jumatatu mtu anatumbuliwa.mark my wordsTunapoijadili hii habari humu maafisa vipenyo ndio wametaga kabisa humu
Jehovah 😆😆Siri ambayo mwanamke anaweza kuitunza Ni Ile ya mabaya aliyofanya yeye binafsi Kama vile kutoa mimba akiwa student au kutembea na ndugu wa karibu, lkn Kama uliiba mipesa huko TRA mkazificha hiyo ujue sio Siri.
Mwanamke anaweza kutunza Siri kwa masaa 47 tu.
Kama huamini jaribu kumuambia Siri feki mwanamke wako wa karibu
Kuna mchungaji mmoja anaitwa Kapola yupo Morogoro huwa anasema hivi: Ndoa ni sawa na kuendesha baiskeli, mmoja akiwa juu mwingine lazima akubali kushuka chini vinginevyo ndoa lazima isambaratike. Maneno yaliyojaa hekima iliyoje!Wote wamekosa busara katika kutatua changamoto zao
Mmhhh aisee usikute na ww ni ofisa kipenyo...!!Wiki ya jumatatu mtu anatumbuliwa.mark my words
Hebu waambieTunaweza kutunza siri za aina yoyote, ila msituudhi tu.
Zinazotuhusu wenyewe binafsi hizo kwa kweli hatutoi ng'o!
Siri siwezi kabisa kumpa Mwanamke yeyote bora nichimbe shimo na niropokwe humo kisha nafukia si kumuambia huyo kiumbeHebu waambie
Hebu waambie
Mpige chini, ila mwachie mjengo mmojaItakua jamaa alikuja kugundua mke wake analiwa na mmoja waosha miguu pale Mwenge.
Wewe ungefanyeje mkuu?
Jamaa ni tax investigstion officer!Kwanini aandike majina ya ndugu zake ili hali ana watoto?basi tufanye kwa mke ni shida..vipi kwa watoto.[emoji21][emoji21]
Nakuja bababinti yangu njoo PM
Mungu WanguJamaa ni tax investigstion officer!
Hpo makao makuu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wala rushwa wakubwa haoJamaa ni tax investigstion officer!
Hpo makao makuu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app