Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwa
IMG_8599.JPG


Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom