Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Tx investigator + nymb 7 na mli zngn[emoji2][emoji2]
Hapo kama kuna kitu watu watakuwa wanajiuliza

Mwanamke usishindane naye kwa kutumia mabavu tumia akili tuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Magu lazima ameshainyaka hii. Jamaa yumo humu Ila naona hatoagi koment
 
Unaweza kukutaka hapo kamchoka tu kapata mtu mwingine analeta dharau mpaka kwa mtu aliyetoka nae mbali. Kwanini siku zoote katunza siri anaona atapoteza kila kitu. Wanaume tukishafanikiwa tunasahau tulipotoka na aliyekuwa nakufulia pichu yako.
Na hii ndo asilimia kubwa ya wanaume,mara nyingi 💯kubwa(sio wote)ya wanaume wanawadharau sana wanawake walioanza nao from the scratch☹️☹️☹️Ulikuwepo wapi siku zote kabla hujafanikiwa ***** unaleta usenge juzz band baada ya kufanikiwa...

Hawa wanaume wanatutesa kinyama 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
 
Huyo mama kakutana na kauzu.

Na kikubwa ni kuwa mama hataki kukubali kuwa ndoa yake haipo tena.

Angekubali mbona rahisi tu? Mahakamani, talaka na kisha mgawanyo wa mali kwa mujibu wa sheria na mchango wa kila mmoja kuzitafuta mali hizo.

Vinginevyo hata mimi ningekuwa huyo mume, kwa sasa ningefunga milango kbs. Maana alichofanya maza ni ugaidi dhidi ya familia. And you know, "we do NOT negotiate with terrorists".
Hivi mwanaume alisema atamgawia mwanamke 💯 kadhaa eee😅😅kazi ipo aise
 
Asilimia 99 hawa wanawake wanaumizwa sana na wanaume pindi wanapofanikiwa. Nina ushahidi vigogo wengi wa serikalini wana ukwasi wa kutisha sana lakini vyote wanaandikisha ndugu zao sasa kifo kikimfika mwanamke na watoto wanahangaika kwa ulafi wa Mwanaume. Huyo mama kafanya jambo jema sana.
Bwana ako ameshapata hasara.
 
Na hii ndo asilimia kubwa ya wanaume,mara nyingi [emoji817]kubwa(sio wote)ya wanaume wanawadharau sana wanawake walioanza nao from the scratch[emoji3525][emoji3525][emoji3525]Ulikuwepo wapi siku zote kabla hujafanikiwa ***** unaleta usenge juzz band baada ya kufanikiwa...

Hawa wanaume wanatutesa kinyama [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Atleast angefikiria kuhusu watoto!! Sawa nyumba na mali zitafilisiwa na jamaa wenda atafukuzwa kazi haya watoto inakuaje?? Future yao itakuaje?
 
Na hii ndo asilimia kubwa ya wanaume,mara nyingi [emoji817]kubwa(sio wote)ya wanaume wanawadharau sana wanawake walioanza nao from the scratch[emoji3525][emoji3525][emoji3525]Ulikuwepo wapi siku zote kabla hujafanikiwa ***** unaleta usenge juzz band baada ya kufanikiwa...

Hawa wanaume wanatutesa kinyama [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Hata nyie wanawake mnadharau wanaume
Mwanaume anaweza kukuwezesha,somesha
Kesho mambo yako super humtaki tena
"Utasikia hatuna chemistry"
Pande zote mbili tuna matatizo yetu

Ova
 
TRA SI WAPO CHINI YA ya wizara ya fedha.wawe wanapelekwa huko na kuzunguka zunguka yaani hazina,tra,bot .
 
Wanawake wengi wanakuja kipindi cha mavuno lkn ukiwakuta mishipa ya shingo imewatoka eti tumetafuta wote. Yaani mtu asomeshwe na wazazi wake mpaka amalize chuo, apambane aingie Tra, anakuja kukuoa kipindi cha mavuno (payback period) halafu unasema mlitafuta wote, na hao wazazi wake waliohangaika nae nao wasemeje? Hivi kwa mfano akipelekwa ndani kwa kula rushwa utasema pia rushwa mlikula wote? Acheni hizo bana, ridhikeni na kidogo mtakachopewa, kama jamaa kaamu kutoa nyumba ya Tuangoma pokea sio ung'ang'anie ya Mbezi. Hata asingekuoa wewe hizo mali angepata tu, labda kama huko Tra ulimuingiza wewe

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hii sheria ya kugawana mali iangaliwe upya
NDOMANA KAMA UNA MALI NA UKO KWENYE NDOA NA UNA WATOTO BORA MALI UWAANDIKISHE WATOTO

ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
Issue ndogo sana hiyo! huyo mama mjinga tu...
 
Janamke halina akili..
Mwanaume mbinafsi

Watajua wenyewe
Ilisemwa “kila mtu atapewa wa kufanana nae”hawa ni pipa na mfuniko, acha wapambane na hali zao. Watakaoteseka ni innocent kids kama wanao, only kwasababu watu wawili wapumbavu walishindwa kumanage pride na ego zao.

Nashangaa wanarusha lawama kwa kigezo cha jinsia, hawa wote wawili ni wapuuzi, kuachana hawajaanza wao.
 
Hii sheria ya kugawana mali iangaliwe upya
NDOMANA KAMA UNA MALI NA UKO KWENYE NDOA NA UNA WATOTO BORA MALI UWAANDIKISHE WATOTO

ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hii sheria ikiendelea vijana wengi watakwepa kuoa, kwanza siku hizi huhitaji hata kuoa ili kupata hizo huduma za ndoa, wanajiletaga wenyewe magetoni. Kuna mabachela wako na mademu zao utasema wameoa kumbe wanakula kisela tu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom