Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
Kishamchomesha huyo mwanamke,mimi kuna mtu namfahamu ni boss,ila hataki kuendeshwa na dereva mwaka wa 10,anaogopa kwani ana mjengo wa maana.
 
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
Hii mpaka kufika kwenye TV na JF TAKUKURU washaiona, labda waipotezee tu.

Kuna kitengo maalum cha kufuatilia mitandao ya jamii na habari nakijua.

Na inawezekana habari wanazo kabla hazijarushwa hewani, maana hata kwenye vyombo vya habari kuna watu wao.
 
Wanawake ni kama upepo,

sometime unaburudisha,

some time unakera kwa kuleta vumbi

sometime unaleta ghalika la kimbuka sometime unaleta harufu mbaya na sometime unaondoa harufu nzuri

Unaleta na kufukuza barka za mvua
Halafu ndo kuna wapuuzi kila siku wananiambia "uwe unamshirikisha mkeo mambo yako".Kwa wanawake hawa hawa dizaini ya mama Diamond? Pumbavu sana.
 
Hizo ni tabia za wale ambao hawana mchango wowote kwenye upatikanaji wa hivyo vitu.
Mwenye mchango angepambana kimya kimya asingethubutu kwenda kumuanika kwenye vyombo vya habari hasa katika utawala huo mlio nao, sababu kwenye utawala huo ni mwendo wa kufilisiwa hata yeye na watoto kuishia kupigika tu kwa kutoambulia kitu.
Ukisema "hawana mchango' una maana gani?
 
Mi namshauri wamalize tofauti zao, hata kama wamefumaniana, hakuna atakaefaidika kati hili la kufukuzana. Na huyo mwanamke apunguze hasira, sasa anapotoa hizo siri ndio itakuwaje sasa? Maana huyo mumewe atakana kuzijua hizo nyumba na si zake, unafanyaje?
Umesahau yule mwanamke baada ya kutemana na jamaa yake alisema mme wake anauza ngada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni tabia za wale ambao hawana mchango wowote kwenye upatikanaji wa hivyo vitu.
Mwenye mchango angepambana kimya kimya asingethubutu kwenda kumuanika kwenye vyombo vya habari hasa katika utawala huo mlio nao, sababu kwenye utawala huo ni mwendo wa kufilisiwa hata yeye na watoto kuishia kupigika tu kwa kutoambulia kitu.

Hawa TRA sina huruma nao kabisa. Sidhani kama hizo mali amepata kihalali.Acha waanze naye. wengine watafuata taratibu taratibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom