Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
Too late Kaka,
Jamaa ashatajwa kwa majina, asubiri tu kiminyo.
 
msimlaumu huyo mwanamke, jamaa ndio kazingua sio vizuri kumfukuza mwanamke uliyepambana nae kutafuta maisha
na sasa hivi jiwe ana hasira sana atapita na kichwa hiko cha jamaa
Mwanamke ishi naye kwa akili jamaa angetumia mbinu kumlegeza mpaka anampiga chini
Ila kama kamtoa kwa moto basi lazima mwanamke atamlipuaa na hivi si ajabu wazee wa ngwasuma washaanza kumsogelea jamaa kujua mali zake kapataje

Ova
 
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
'A woman is your best friend, but she can turn into a [emoji2787] to shorten your life'. Hata hivyo kwa mfanya kazi wa TRA mbona hiyo ni servant quarter? Au ni mfagizi?
 
Leo nilikua natizama kipindi kinaitwa “Darajani” cha Clouds Plus TV. Kuna mama anaitwa Celvina Damas anadai mumewe kamfukuza kwenye nyumba waliojenga Mbezi Beach. Hii habari nimeona tena TBC na nyumba imeoneshwaView attachment 1690156

Kitakachompomza huyu mumewe kwa majina ya Nsaji Raphael Mwanjali ni huyu mkewe kudai kwamba wana nyumba Tabata, Twangoma na maeneo mengine. Ameenda mbali na kudai kwamba hizi nyumba ameandika majina ya ndugu zake. Alikua akidai hataki ofisini (TRA) wamfuatilie.

Nina mshauri baharia mwenzetu haya mambo aachane nayo. Akubali tu kumuachia mkewe hiyo nyumba ya Mbezi Beach.
Dah
Very stupid woman..
Gvt jnasema tu check mate [emoji3528][emoji3528][emoji3528]
 
Mshaanza sasa na bado mama D hajaona sijui najuaa atakuja kukomaliaaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kaka yangu mrangi usikae ukamtendea haya mwanamke uliyeishi nae ndani ya nyumba
Usithubutu

Ukimvuruga mwanamke anakuvuruga zaidi. Na hapo ameongea na kuharibu kila kitu keshasahau baada ya huyo mwanaume kuwa kuna watoto. Majuto baadae

Wanawake Akili zetu hata sisi wewe hatuzijuagi...... anazijua muumba tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom