Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

Siyo zangu hizo aisee
Then wewe ni ME huo mwanandiko wa kiume amini kwamba

Wanaume hutumia neno aisee wakiwa wanamalizia sentesi either kutamka au kuongea endapo kukiwa na mshangao ndani yake.

Na wanawake hutumia neno Jamani.

Je unapata faida mtoto wa kiume kuigiza mwanamke mitndaoni ?.
 
Mimi ni wa kike mkuu, hiyo aisee kuna mtu anapenda kusema sana ndiyo maana nimekariri
 
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.

Nimewamiss wana jukwaa😍🙂‍↕️😔
Jf imevamiwa na makahaba kwa kasi!!
 
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.

Nimewamiss wana jukwaa😍🙂‍↕️😔
Ombi langu la kuwa unaonaje mimi na wewe tukioana maana tunaendana bado unalifikilia mkuu wangu ?
 
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.

Nimewamiss wana jukwaa😍🙂‍↕️😔
Ulivyohamia tu ukampatia namba
 
Back
Top Bottom