Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

My dear usijaribu kushindana na.hawa viumbe wenye zipu za mbele hata kidogo.....sometime.kujifanya mjinga nako kunasaidia my dear..
 
Kwa hiyo hapo ukawa umemkomoa nani?

Huyo si ndiye yule uliyempenda ukawa unashindwa kumwambia ukaja hapa jukwaani tukakupa 'trick' za kumnasa?

Na sasa unataka tena 'trick' za kumkacha?


Kweli wanawake saa nyingine hata hatujui kuwa tunataka nini...

Tunashangaza..!!!
Kwa kweli nimeipenda coment yako...
 
Waeleze wazazi wako kuwa humtaki huyo mtu, hiyo itaanya wakija kutoa mahali wazazi wako wataikataa na hapo ndo utakuwa kufuta uchumba kabisa.. Hili suala lishafika ngazi za juu kwakuwa wanakuja kutoa mahali, njia pekee ni kuua uhusiano kupitia kwa wazazi tu
 
eff8eab72c0cc6400c29449a6db92f26.jpg
 
Hahahaaa! We mdada wewe naona unazidi kumpoteza.
vipi mrembo naweza kukuchumbia ,mahari shingapi watanidai kwenu, je tunaweza tukafunga ndoa ya mkeka ,vipi unaweza ukala kipolo cha ugari asubuhi au je unaweza ukalala kwenye mkeka bila shaka umekubali weweeeeeeeeeeee machizi ndoa yangu kesho na emmyta.
 
Bwana weeee
Ana masihara huyu mkuu
bado ni mtoto mdogo kwnye mapenzi uyo sishangai bado ajakua ipo siku atarudi analia kwa uyo mwanaume mm coni ubaya sasa mtu ujamfuma anakukucheat ujamuona ana chepuka anania nzuri ya kutaka kukuoa afu unanza mfanyia ushenzi eti kisa anapigiwa cm na wanawake atakuja juta uyo kiukweli ajajifunza aijui dunia uyo maisha ni safari ndefu sana...
Ujana bado unamsumbua
Heshima ikurejee mkuu....
Shukurani zikufikie mkuu
Mbona umempa muda mrefu sana?

Ni mwaka huu huu atarudi hapa...

Let's wait and see..!
Tumsubiri kule love connect
Ila kwa ID mupyaaa
Huwa wanajidanganya wakiwa chini ya 25, ngoja agonge 28 uone thredi humu mfulilizo.
Tumsubiri asee
Aiseeh nimecheka kwa sauti,ndio zao hawa watu.
Mungu atusaidie asee
Hivi nimekukosea nini? Huku kunipotezea nani kakufundisha?

Nimwachie Mungu?
Hahahah
Tumuachie Mungu

Sema mkuu,sijakupotezea bhanaa
miaka kadhaa mbali,december tu,naw ngoja agegedeke kwanza wakichoka watupe kule ndio akili zitamjia naw anafurahia ka uhuru alikojipatia
Atakuja na ile kauli 'all men are dogs'

Ebu tumsubiri December kwa new ID
 
kwa hiyo umeamua kuja kunitangaza huku sasa mahali sitoi
 
Ni sample ya madad wanaok
Ana masihara huyu mkuu

Ujana bado unamsumbua

Shukurani zikufikie mkuu

Tumsubiri kule love connect
Ila kwa ID mupyaaa

Tumsubiri asee

Mungu atusaidie asee

Hahahah
Tumuachie Mungu

Sema mkuu,sijakupotezea bhanaa

Atakuja na ile kauli 'all men are dogs'
ni kweli mkuu
 
Mbona hu Sound kama humtaki unajishaua tuu? kama kweli ni mwanamke na akiwa hataki kitu mbona njia nyingi sana zakumkataa tena wala hufundishwi,ebu sema kweli what are your motives behind this Topic?
 
Mbona hu Sound kama humtaki unajishaua tuu? kama kweli ni mwanamke na akiwa hataki kitu mbona njia nyingi sana zakumkataa tena wala hufundishwi,ebu sema kweli what are your motives behind this Topic?
Na alivyo mjanja kakaa kimyaa kama hayupo vile.
 
Mwambie ukweli ili asipoteze muda wake na wewe. Maana mpaka mtu anakuja kutoa kukuvisha pete ni kwamba kulikuwa na mawasiliano mazuri kati yenu na mlipanga pamoja mambo mengi.
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi

Isitoshe siku ya j2 ya wiki hii anakuja kutoa mahali na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake

Hii ndiyo tofauti iliyop kati ya wanawake na wanaume. Sitaki nataka, Mapaka anakuvalisha pete sitaki nataka na sasa anakuja kutoa mahari sitaki nataka. Wengi wa wanawake hawana misimamo wanaolewa tu kwa sababu ya kipato au ufahali kwamba na yeye ameolewa na kuvaa shela. BASI!
 
Sijui unataka ushauri gani wakati maamuzi umeshayafanya au ulikuwa unatupa taarifa?
 
Back
Top Bottom