aisee nmejaribu kupitia vitabu mbal mbali kwenye maktaba yangu ila sjapata tafsir mubashara wa hilo neno embu nsaidie kidogo ili nalo tuliongeze Kutomboka maana yake nin?
Numbisa nsaidie maana ya hili neno huwz jua neema ikakusogelea
ha ha ha ha kumbe asante kwa tafsir yako mubasharaMaana yake kuropoka weee
kumbe sio tafsir yake aisee amefanya kosa ambalo lingesababisha tudanganye dunia nzima,
Kwahiyo Ikitokea hata huyo wa utotoni akichepukayeye ndo kanifanya nichepuke na ilikuwa c lengo langu
wazazi nilishawaambia wamekataaWaeleze wazazi wako kuwa humtaki huyo mtu, hiyo itaanya wakija kutoa mahali wazazi wako wataikataa na hapo ndo utakuwa kufuta uchumba kabisa.. Hili suala lishafika ngazi za juu kwakuwa wanakuja kutoa mahali, njia pekee ni kuua uhusiano kupitia kwa wazazi tu
Hii ni story tuu haina uhalisia wowoteNiko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi
Isitoshe siku ya j2 ya wiki hii anakuja kutoa mahali na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni
Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.
Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake
Shirikisha viongozi wa kanisa, nenda katika mamlaka ya ustawi wa jamiiwazazi nilishawaambia wamekataa
Unatumia bia gani?Hahahaajah, nataman hio warning ingekuja na ka vocha
Na kweli.....Naaminii hilii
