kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,010
- 650
Chukuliwa na huyo uliyefanya nae usaliti na potea naye mojamoja ili uepukane na hicho usichokipenda.
Tumshauri aendelee kutombokA hadi basiUnasikia kaka angekuwa wa kutaka ushauri angekuja kabla hajenda huko anakokuita kutomboka sasa ameshatomboka na ameshatutangazia kwamba ameshatomboka unadhani utamshauri nini hapo?
tafuta mwanaume mwingine tena bosi wake mwambie alete mahali, siku ya kwenda kulipiwa mahali muombe nauli na hela ya matumizi. aipiti wiki utamkuta kajinyonga kama yule dogo wa tanga. hapo utakuwa umemaliza kazi.Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi
Isitoshe siku ya j2 ya wiki hii anakuja kutoa mahali na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni
Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvafuta mwanai ukaanzia hapo.
Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Piga picha za uchi uweke mtandaoni, atakuacha tu.
Ukiishaziposti usisahau kuni-tag nije kuosha macho....
Unashindana na mwanaume sasa uyo wa utotoni akichepuka na we unachepuka mkiachana utaenda na wa secondary akichepuka na we unachepuka mkiachana wa mitaani kwenu akichepuka na we unachepuka papuchi yako mamayeye ndo kanifanya nichepuke na ilikuwa c lengo langu
Wewe ni msaliti tu wa siku nyingi japo huyu boya amekuwa kipofu kwa penzi lako,yaani umkere mtu na mpeni wako wa utotoni,think it over girl,hata ukiolewa utarudi kwa mpenzi wako wa utotoni,si akuoe kama anakupenda?Wewe utakuja humu unalia kuomba msaada huko unako kwenda,sikulaumu kama huyu mtu ni msaliti,just tell him its over and don't listen to him,lakini unapoenda kwa mpenzi wako wa zamani kumkomoa huyu,unaikomoa chai kwa kuijaza sukari!nakuombea mafanikio katika huo mpango wako mpya,pliz use a condom!Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi
Isitoshe siku ya j2 ya wiki hii anakuja kutoa mahali na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni
Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.
Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake
Pauka pakawa...........hadithi zetuNiko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi
Isitoshe siku ya j2 ya wiki hii anakuja kutoa mahali na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni
Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.
Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake
wakongo wanatumia sana hilo neno katika show zaoKutomboka ndo msamiati Gan? Tuanzie hapo. [emoji53]
PM tafadhaliNi halisia