Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Wote mna michepuko, alafu wewe inakuuma zaidi ya Mwenzio! Wewe utakuwa ni manangayembe!
 
Sasa ukigawa mwili wako unamkomoa nani??.....huo mwili ni wake au wako......kama vip endelea kugawa tu ili umkomoe ila mnachokitafuta wote mtakipata....
 
huyo anayetaka kukuoa na bado unakataa nahisi ana matatizo ya akili...!!!!!
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.

Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.

Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.
Unachepuka ili umkomeshe?unajikomesha mwenyewe Dada yangu.kata mawasiliano ya cm pia taratibu za kuposa zinajulikana,utaulizwa unamfahamu sema ndio ila sipo tayari kuolewa naye.mbona mambo madogo sana .
 
Alokwambiaa Kuachana na mtu lazima umsaliti nani..??? Ivii ushabalehe kweli wew..??? maana una akili za kitoto balaa.. Kumwambia tuu unaenda kumsaliti haitoshi.. Mtumie na Video au picha UKIKUNJWAA HASAAA...tenaa utoe vilio vya nguvu..hapo nakwambia Hata awee na upendo gani harudi tena.. na utakuwa umemuwezaa... Sasa wee kila siku muage unaend kuto...uone ka atakuacha zaidi zaidi unaumiza papuchi yako...
 
Sio tabia yake mbaya ni tabia yako wewe.... Hatuoni vitu jinsi vilivyo bali tunaina jinsi sisi tulivyo,,so jirekebishe uwe na aman ya moyo...
 
K unampa halaf unasema tukushauri muachane khaaa mpe ndogo
 
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi.

Isitoshe siku ya J2 ya wiki hii anakuja kutoa mahari na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane hataki.

Nifanye nini ili tuachane na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni.

Nilimpa taarifa kuwa naenda kulala na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo.

Naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana naye ila yeye hataki tuachane, nimfanyie kitu gani kitakachomuumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake.
Nimecheekaaa!
Akyanani kwani we dada haujawahi kukaa na wana ndoa wakakwambia
Watu weeeengi asilimia 90 waliooana walikuwa hata hawapendani wala hawazimikiani! Basi tu ndo ilitokea wakaoana sa wafanyaje!
Mengi yashasema hata sijui nani kanitag huku, follow your heart ila ukae ukujua kuwa all men are the same, wamama zetu wanasema wanaume wa kwenye ndoa ni watoto wa baba m1.
Huyu boy anaetaka kukuoa amekupenda, tulia mama sitaaa! Simu zipo na kuteleza sio kuanguka
Njoo usome stori yangu ya side chic!
 
Back
Top Bottom