Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,554
- 105,342
Ushindani kwenye mapenzi mara nyingi unapelekea anguko takatifu la penzi husika.............. ukiangalia mwanamke usishindane na mwanaume hata ckumoja mapenzi ayaitaji ushindani ......................................................................................................................
Kwa akili hizi umepata mtu wa kukuoa,unamkataa?
Heshima ikurejee mkuu....Baada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
Absolutely....kwanini msisubiri mkue ndipo muoane kuna kila dalili ya utoto kwenye uzi wako.
Ushindani kwenye mapenzi mara nyingi unapelekea anguko takatifu la penzi husika.............. ukiangalia mwanamke usishindane na mwanaume hata ckumoja mapenzi ayaitaji ushindani ......................................................................................................................
Mkuu naona wakati wa typing umekosea. chaced=chasedRun away from him like your chaced by lion while you still have the chance my sister.
Kwa hiyo hapo ukawa umemkomoa nani?yeye ndo kanifanya nichepuke na ilikuwa c lengo langu
Unasikia kaka angekuwa wa kutaka ushauri angekuja kabla hajenda huko anakokuita kutomboka sasa ameshatomboka na ameshatutangazia kwamba ameshatomboka unadhani utamshauri nini hapo?jaribu kumuelewesha kuna njia nying za kumuacha mwanaume na sio kujidhalilisha namna hyo
Rekodi video mtumie whtapp. Tena ukiwa unaliwa tgo ni poa.yeye ndo kanifanya nichepuke na ilikuwa c lengo langu
Mbona umempa muda mrefu sana?Baada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
kwan kutomboka maana yake nin dada?Unasikia kaka angekuwa wa kutaka ushauri angekuja kabla hajenda huko anakokuita kutomboka sasa ameshatomboka na ameshatutangazia kwamba ameshatomboka unadhani utamshauri nini hapo?
Huwa wanajidanganya wakiwa chini ya 25, ngoja agonge 28 uone thredi humu mfulilizo.Baada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
Niko kwenye mahusiano ambayo ki ukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi na isitoshe siku ya j2 ya wiki hii anakuja kutoa mahali na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane ataki nifanye nini ili achane na mimi na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni na nilimpa taarifa kuwa naenda kutomboka na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo. naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana nae ila yeye hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakacho muumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake
Aiseeh nimecheka kwa sauti,ndio zao hawa watu.Baada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
Ukisikia upele huwa unamtokea asiye na kucha ndio hii.Ngoja akue kidogo mkuu itakuja thread hapa heading yake utasikia "nimezalishwa na boyfriend wangu wa utototoni afu hanitaki tena" tumpe ushauriKwa akili hizi umepata mtu wa kukuoa,unamkataa?