Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Huyu kaka hataki tuachane, nifanyaje?

Huyu kaka ndio kiswahili gani? Mwanaume uliyelala nae unaweza kumpa heshima ya kaka?
Hata hivyo we muone yeye boya ila muache akuoe alafu kitakachokupata utatujazia thread za najuta kila siku humu jf,
 
Niko kwenye mahusiano ambayo ki ukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi na isitoshe siku ya j2 ya wiki hii anakuja kutoa mahali na kunivisha pete na nilishamwambia kuwa tuachane ataki nifanye nini ili achane na mimi na sina mpango wa kuja kumzalia mtoto, na siku ya jana niliamua kumsaliti na mwanaume wangu wa utotoni na nilimpa taarifa kuwa naenda kutomboka na mwanaume mwingine baada ya kuona huyo dada akimpigia simu then akaja kumzimia baada ya kuona ugomvi ukaanzia hapo. naombeni mnishauri lengo langu ni kuachana nae ila yeye hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakacho muumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake
Na hili la nyie kuwa bilioni 5 bado unaleta maringo,hatukuchagulii maisha ila kuku wa kienyeji hata umnyaje haachi tabia zake.
 
Nami naungana nawenzangu kukuswakika-kutomboka maana yake halisi nnni?
 
Mtafiti Bonny popote pale ulipo... come this way. Ukuje na yule mpambe wetu Numbisa

Hapa nadhani tunakaribia ukingoni... ngoja nianze maandalizi ya uzinduzi.

Mada ya leo: KUTOMBOKA.
 
Mtafiti Bonny popote pale ulipo... come this way. Ukuje na yule mpambe wetu Numbisa

Hapa nadhani tunakaribia ukingoni... ngoja nianze maandalizi ya uzinduzi.

Mada ya leo: KUTOMBOKA.
aisee nmejaribu kupitia vitabu mbal mbali kwenye maktaba yangu ila sjapata tafsir mubashara wa hilo neno embu nsaidie kidogo ili nalo tuliongeze Kutomboka maana yake nin?

Numbisa nsaidie maana ya hili neno huwz jua neema ikakusogelea
 
Back
Top Bottom