Piga picha za uchi uweke mtandaoni, atakuacha tu.
Ukiishaziposti usisahau kuni-tag nije kuosha macho....



Wewe unautakatifu kiasi gani. Acheni kuhukumuMalaya
Bwana weeeeBaada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
Hahaaaa. Wasichana hawa kaka yaani ni shida aisee.Hivi ,mtu analetaje mahari kabla hamjelewana? si kuna mshenga kwann usimwambie hzo taarifa kua hutak kuolewa tena mpka umwambie mtu kua unaenda kutomboka (sjui maana ya kutomboka)
ha ha ha ha basi kazi ipo kwa kwel... unasemaje hayo mambo ili umkasirishe mtu kumbe unajidhalilisha tuHahaaaa. Wasichana hawa kaka yaani ni shida aisee.
Hahahaaa! We mdada wewe naona unazidi kumpoteza.muumize tu...Saiz mwite ashuhudie unavyotomboka mbele yake....Ili uone kama bado atakuganda.Ila utachelewa sana kuolewa coz hata huyo hakuoi
bado ni mtoto mdogo kwnye mapenzi uyo sishangai bado ajakua ipo siku atarudi analia kwa uyo mwanaume mm coni ubaya sasa mtu ujamfuma anakukucheat ujamuona ana chepuka anania nzuri ya kutaka kukuoa afu unanza mfanyia ushenzi eti kisa anapigiwa cm na wanawake atakuja juta uyo kiukweli ajajifunza aijui dunia uyo maisha ni safari ndefu sana...Baada ya miaka kadhaa utaanzisha thread ya kutafuta mume
Kwani mawasiliano yake ya simu yana ubaya gani?Niko kwenye mahusiano ambayo ki ukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la mpekuzi na ............................................. hataki tuachane nimfanyie kitu gani kitakacho muumiza moyo wake mpaka anyooshe mkono juu asepe aende zake
Huenda ikawa hajajua.ha ha ha ha basi kazi ipo kwa kwel... unasemaje hayo mambo ili umkasirishe mtu kumbe unajidhalilisha tu
uyo bado ni limbukeni wa mapenzi afu ukiangalia mwanamke usishindane na mwanaume hata ckumoja mapenzi ayaitaji ushindani afu pia yy awasilini na wanaume kuwasiliana na mwanamke co kumanisha kwamba uyo mpenzi wako mtu as long mtu anakupenda anakueshimu mpende endelea nae afu izi naic story za mitandaoni tuu akuna lolote apa tunapoteza mda kuchangia tuuu...Kwani mawasiliano yake ya simu yana ubaya gani?
Japo post zako zakutunga.Run away from him like your chaced by lion while you still have the chance my sister.
jaribu kumuelewesha kuna njia nying za kumuacha mwanaume na sio kujidhalilisha namna hyoHuenda ikawa hajajua.