Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
Hii ni aibu kwako window 7 ubaguzi unasema utani wa jadi naomba Mungu akusamee hujui utendalo..!
Mkuu tunatofautiana mitizamo kwenye mambo ya utani wa jadi, kuna watani wengine mpaka msibani wanacheka kwa makelele kama ni mgeni utaibeba kama habari. Kwa hili kwangu mimi linabaki kama swala la utani wa jadi.