Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

Huyu jamaa bana. Ndio maana kila mara humu nasema mbongo elimu haimsaidii wabongo wengi wanaenda shule si kuelimika. Nimemdharau sana jerry na kumpuuza.
 
Mm ni Yanga, lkn napendekeza Muro aondolewe, anakauli nyingi za utata, kihuni na kishamba. Yanga na Simba ni timu za Uswahili sio mbezi.
 
Hivi Huyu Jerry Ndiyo Yule Alikuwa TBC 1 Akifanya Vyema Ktk Taarifa Za Uchunguzi Kabla Ya Kukutana Na Kisanga Cha Rushwa?. Aise Yanga Toeni Huyu Mtu Hafai Na Wala Msisubiri Tena TFF Iwasaidie Kutoa Adhabu.
 
Mkuu Huwa Kabla Sijaanzisha UZI Humu Huwa NAJIRIDHISHA Kwa Kila Pande Na Sikurupuki. Nilipoandika Kuwa Ana Masters Degree Ya Public Administration Sijakosea Kwani Ni Kweli Huyo Msemaji Wa Yanga Alihitimu Mwaka Juzi Na Hiyo Kozi. Na Kwakuwa Umenichokoza Labda Pia Nikuambie Tu Kuwa Jerry Muro Hajasomea UANDISHI Wa HABARI Popote Bali Alisomea Hayo Hayo Masuala Yake Ya Utawala. Kwa Uthibitisho Zaidi Mtafute Mwenyewe AKUTHIBITISHIE. Na Siku Nyingine Muwe Kwanza Mnasoma CONTENT Nzima Ya UZI Na Pia Kujua CONTEXT Yake Ili Unaponihoji Nijue Kuwa Nahojiwa Na MTAALUMA Na Siyo Just A POPOMA.



You don't know Jerry but you are pretending to know him,Jerry was my classmate And nimegraduate naye mass com
 
Huyu alitakiwa kupigwa Ban na TFF ya miaka 10 kujishughulisha na mpira ndani na nje ya Nchi
 
View attachment 313216
Hivi huyo Jerry sijui Muro anajuwa kuwa wazaramu ndiyo waliyoanzisha hiyo klabu ya Yanga? Mzee Kondo kipwata,Mzee Chonjo Mwinchande Digendo,Mzee Tabu Mangara,Mzee Mtaruke Mangara,Mzee Selemani Mwinyimadi, kweli yupo ki business ndiyo maana hana adabu.
Lakini anafahamu mchango wa familia ya kina Manara kwa Yanga kuanzia Kitwana Manara(Popat) Baba mkubwa wa Haji, Sunday Manara(computer) Baba mzazi wa Haji bila kumsahau mdogo wao Kassim Manara kweli yupo kibiashara ila ajuwe biashara ataifunga kwa sababu hana adabu.
View attachment 313217
 
Anakua Yanga wameishikilia TFF hivo hawezi adhibiwa vikali ila angekuwa Sunday Manara au Idd Maganga wangeshanyoka
 
"Weak people revenge, strong people forgive and intelligent people ignore" Manara yampasa apotezee tu Jery muro ni mzee wa matukio
 



Maneno yenyewe ni kama haya yafuatayo:

" Kwanza huyo Manara ni mpuuzi kabisa na wa hovyo "
" Mtu anakaa uswahilini ataweza kushindana na mimi niishie Mbezi beach? "
" Mimi namiliki gari la kifahari ambalo yeye hana na hatoweza kuwa nalo "
" Isitoshe nina elimu kubwa ya masters degree ambapo yeye hata diploma tu tatizo "
" Nina uwezo sasa hata wa kuoa mwanamke wa kizungu kwa kuwa mimi ni wa kimataifa zaidi "
" Hawa watu wenye hizi ngozi ni matatizo makubwa ndiyo maana tunawasaidia kuwalinda "
" Afisa habari gani kutwa anashinidia mihogo pale Magomeni Kagera? "
​


Nimesikiliza video. Kuna tusi jingine anarudia mara mbili akisema mimi siyo Mzalamo. Kwa maana nyingine anaamini kuwa Mzalamo ni fedheha.

Kwa aina hii ya mtu anayejiamini ni msomi, basi yanga wana hasara ya wazi. Huyu siyo mtu anayestahili kushika nafasi kama hiyo. Utani ulioko ktk mpira wa miaka hii, haustahili kujibiwa kwa matusi na hasira za aina hii. Ukimuangalia bodu language inaonyesha hana heshima kwa yeyote na hata waliokuwa mbele yake yeye anadhani ni zaidi yao.

Sitapenda mtu kama huyu aachiwe kusema samahani. Ni mtu asiyejifahamu. Kama kweli amesoma, basi alipata vyeti na siyo elimu kama anavyodai. He is spineless and useless!
 
Last edited by a moderator:
huu mpuuzi na mla rushwa mkubwa lazima ashughulikiwe ipasavyo. kwanza anatakitwa seme zilipo zile nyara (pingu) anazomiliki. jerry muro ni mwanamichezo wa ovyo kabisa, Afrika Mashariki na Kati. huyu mpuuzi achukuliwe hatua haraka iwezekanavyo.
 
Jeri Muro ameonyesha Uji nga wa hali ya juu, Kama Manara ni mpuu zi, Muro ni X100000000 Zaidi. Lazima afungiwe maisha kujishughulisha na mambo ya michezo
 
Lazima hako kagari anakokaringia ni Toyota na huko mbezi beach kapanga lazima
 
hawa watu wenye majina ya jerry jerry wanatabia hizo, angalia Jerry Slaa, angalia Jerry Mulo wote akili zao ni sawa, naye atapigwa chini kote kote tuone taluma anayoitambia itamsaidia nini, amuulize mwenzie Jerry Silaha alivyooumizwa na wananchi kuukosa ubunge kisa majidai.
 
Back
Top Bottom