nsabiadipunaga
Member
- Nov 1, 2015
- 26
- 2
Alikaa sana jela
Hafai hafai hafai! Watu kama hawa hawui contribution ya attitude katik kazi! aondolewe maa moja. Especiall kwa hilo la unyanyapaawa Afia wa Simba!Duuuh!
Amefanya ubaguzi wa hali ya juu,
Swala zito hili sio la kuchekewa hata kidogo,
Jerry anapaswa aadabishwe,
Iwe fundisho kwake na wengineo.
Hapa tatizo ni uarubinoDaah au alikuwa kalewa?huyu anatakiwa kuwa ndani kwa kumdhalilisha Manara kwa ngozi yake
Media za bongo hovyo kabisa.ni shaffih dauda na radio moja ya fm ndio zilitangaza hii habari
Mimi nimemuelewa tofauti na mtoa mada. Amemaanisha wenyeji wa dar ni wazaram ila yeye mpira una muweka dar japo asir yake sio dar. Pia ameponda kuwa wa familia ya wachezaji mpira sio sababu ya kijua mpira ndio.akatoa mifano ya kuiahi karibu na msikiti au kanisa sio.kujua dini.
Nimtazamo tu kwa mimi.nimemuelewa na yuko.sahihi kwa nionavyo.mimi
https://www.youtube.com/watch?v=V0sG48qi4JE&feature=youtu.beSijaelewa na video imegoma kufunguka ..hebu weka wazi kwa maandishi tuelewe mkuu