Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

Mkuu Huwa Kabla Sijaanzisha UZI Humu Huwa NAJIRIDHISHA Kwa Kila Pande Na Sikurupuki. Nilipoandika Kuwa Ana Masters Degree Ya Public Administration Sijakosea Kwani Ni Kweli Huyo Msemaji Wa Yanga Alihitimu Mwaka Juzi Na Hiyo Kozi. Na Kwakuwa Umenichokoza Labda Pia Nikuambie Tu Kuwa Jerry Muro Hajasomea UANDISHI Wa HABARI Popote Bali Alisomea Hayo Hayo Masuala Yake Ya Utawala. Kwa Uthibitisho Zaidi Mtafute Mwenyewe AKUTHIBITISHIE. Na Siku Nyingine Muwe Kwanza Mnasoma CONTENT Nzima Ya UZI Na Pia Kujua CONTEXT Yake Ili Unaponihoji Nijue Kuwa Nahojiwa Na MTAALUMA Na Siyo Just A POPOMA.
Sasa kwa majibu haya na povu kibao una tofauti gani na huyo Jerry Muro??!! Kama jamaa hajaelewa ulichoandika si umfahamishe kwa uzuri tu. Kuanza kutaka kujua kama ni mtaaluma au la kimsingi unafanya ya bwana jerry muro na unakuwa kama yeye kabisa. Na wewe jirekebishe.
 
Back
Top Bottom