Huyu harudii tena

Huyu harudii tena

Napenda watu kama wewe, nilishajieleza mwanzoni kabisa kwamba mimi nimepita njia moja na M23 na wananiita madam, sasa kuna watu kama wewe mnachukulia poa wanawake, sina shida ya pesa mimi, ila naona dharau zimezidi, nataka aonyeshe uanaume wake sasa
Kuna siku atakunasa tu
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
ni vizuri kua wangwana kidogo kwenye maisha, mtu anaweza asikufae leo, ila kwasababu ya life dynamics ukamkumbuka na akakufaa wakati muafaka.
Ni vizuri kua wakweli kuliko kupretend maisha ili mtu akukimbie.

ukimtaka au kumkataa mtu mwambie ukweli na sio kumpakazia, ni usawa wa ukweli na uwazi by JeyD.

kuwekeza in friendship or relationship kunahitaji ustaarabu na discipline zaidi kuliko sense of perfections 🐒
 
Kaka wadhamini vipi?

Watu8
mdhamini mmoja kapumzikaaa na huyo mwingine anasema vipii 😅
🥰❤️ (1).webp
🥰❤️.webp
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Umeamua kuja kuanika hapa siyo, nishajua siri yako...!! Ngoja uende ...nakuwekea keupe daadeki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom