Huyu harudii tena

Huyu harudii tena

Ndiyo huyu jamaa nini?👇

Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅

Sawa. Haina Shida...Sisi ni People tutakutana...Sirudii Tena. Nisamehe
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Kwa uaminifu ni kitu adimu sana sasahivi, kwa nini umfanyie ufisadi mtu mwema kwako, wakati ambao mwenzako kaonesha upendo?

Kuna raha gani ya kumuudhi akupendaye bila sababu ya yeye kukufanyia ubaya?

Ninyi ndiyo mnaofanya kada ya ma slay queen kutoangaliwa jicho la huruma pamwe upendo.

Sana sana hapo mdau umemjengea picha mbaya kichwani mwake na kuona wanawake wote hawaaminiki, ni wakutumia ovyo ovyo bila kuwekeza upendo, umewaangusha wasichana wote.

Enhe, umemfanyia maudhi aliyekukarimu, wadhani atakurudia mara mbili?

Na kwa kitendo hicho umepata faida gani binafsi?
 
Unajielezea sana mzee, punguza maneno
 
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Ungekua na kalio km hili basi flat
Screenshot_20260911_101004.jpg
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Chai
 
Napenda watu kama wewe, nilishajieleza mwanzoni kabisa kwamba mimi nimepita njia moja na M23 na wananiita madam, sasa kuna watu kama wewe mnachukulia poa wanawake, sina shida ya pesa mimi, ila naona dharau zimezidi, nataka aonyeshe uanaume wake sasa
🚮🚮🚮🚮
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Nani huyo ambae hajui kuomba papuchi?
Umekutana na mtoto wa English medium huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom