Huyu harudii tena

Huyu harudii tena

Chai.jpg
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Unadinywa?
 
ni vizuri kua wangwana kidogo kwenye maisha, mtu anaweza asikufae leo, ila kwasababu ya life dynamics ukamkumbuka na akakufaa wakati muafaka.
Ni vizuri kua wakweli kuliko kupretend maisha ili mtu akukimbie.

ukimtaka au kumkataa mtu mwambie ukweli na sio kumpakazia, ni usawa wa ukweli na uwazi by JeyD.

kuwekeza in friendship or relationship kunahitaji ustaarabu na discipline zaidi kuliko sense of perfections 🐒
Umetoa wapi nguvu ya ku comment hata arobaini haijafika.
 
Ahh kumamake, huyu kweli hawezi kurudia, sio kwa hiki kilio 😂

Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Mm n yatima, kwahy hata mm nikikutongoza utaninyoosha?

Kwamba hutonionea huruma mm yatima?
 
Kibumbu hapati, na hapa nimetangulia kufika kwenye hoteli naona kaja sijui na probox , sasa nikimuaga nataka anisindikize kwenye usafiri wangu , nakwambia huyu harudii tena
Yani kama mmefikia kwenye hotel na asikutombe, bc huyo jamaa n zaidi ya fala
 
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Ni kweli nimejuta lkn pesa yangu haiendi kidhembe napiga uchawi wa bwido hutakaa unisahua maisha,ngoja utalipa zaidi ya ×100 ulicho tumia hicho wewe jiongereshe tu
 
Usiombe kukutana na watu wa namna hii, they're stupid from head to toe!
Ila nn bro, mm naamini huyu mtoa mada alishaonyesha red flag Kwa Jamaa, Ila labda jamaa akakaza fuvu, ngoja anyooshwe tuu

Malaya hua wana red flag za kiautomatically, usipoziona Hata chache bc ujijue ww n zaidi ya fala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom