Kitukuu cha saronga
Member
- Mar 20, 2017
- 64
- 23
changamkia fursa mangi
Duh! Aya bhanaHamna kitu hapo,
Hana chochote anachovutia
hivi wanamshindisha njaa maana afya yake kidogo ime loose connectionView attachment 506279 Sijui nitampatia wapi kumweleza, Sijui nitaipata wapi namba yake angalau anifahamu.
Popote ulipo Jesca, napenda ufahamu kwamba kuna kijana wa kichaga, Mangi kamili anahangaika usiku na mchana kutafuta mawasiliano yako.
Ni kijana mtanashati, anaelimu ya kutosha na cheti halali tena cha enzi za Ndalichako.
Tafadhali wandugu, nisaidieni nitampataje Jesca.
Msihofu kuhusu Baba mkwe, nimejiandaa kwa Mashambulizi.
General Mangi
Daslam.
Na hii itawasaidia sana wale wachukiwao na huyu baba.Inabidi tufanye Maarifa Magu apate Mkwe wa Kichaga
Humuezi huyo,anaweza akakuambia kulala ni SAA moja usiku,ukimwambia vipi kazi ni,anaweza kukwambia kazi kazi kitu gani,
Ww utakuwa na matatzo inabidi tufunge na kuomba kwa ajili yako. Maada ni mtu kampenda mtu ww unaleta mambo ya ndege inahusiana nn? Soma alama za nyakati.Ila Tanzania yenye neema naiona inakuja kwa kazi,ndege tunazo,tena sasa hivi mtanzania hata ukiulizwa kuwa nchi yako INA nini unalo LA kujibu,barabara tunazo nzuri,ndege tunazo,kiongozi wetu ni MTU anaependa tuwe na vitu vyetu wenyewe,ila wasioelewa wanapinga kila kitu,tuacheni roho mbaya
Lakn nao ni binadam kuna vitu lazma wapatiwe ili kukidh matakwa ya miil yao.Mpaka hapa umeshafanya kosa la mtandao kwa kuidhalilisha familia ya rais.