Huyu hakuwa tayari kwa ndoa?

Huyu hakuwa tayari kwa ndoa?

Aanze kwanza kwa kusimamia majukumu yake na kuhudumia kila kitu hela ya mwanamke haimuhusu mwanaume

Hayo mengine sasa sijui ni yapi. Ila maswala ya kutaka hela ya mke itumike nyumbani aachane nayo
Anafanya kazi ili iweje
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nina rafiki yangu mmoja tumeshakuwa kama ndugu maana tulikutana a level mpk chuo kikuu tuko wote na kitaa tupo wote

Sasa alioa mke wake sasa ni miaka 3 wako kwenye ndoa halali kabisa. Mkewe ni mnyaturu, shida inayojitokeza yule mkewe pia anafanya kazi.
Ukitaka ndoa ife au asiwe na amani ya moyo basi aendelee kufuatilia pesa ya mwanamke.

Wengine tulishaacha kujihusisha na pesa ya mke na wala hatuulizi. Na hiyo imefanya achangie maendeleo ya familia kwa hiari
 
Nina rafiki yangu mmoja tumeshakuwa kama ndugu maana tulikutana a level mpk chuo kikuu tuko wote na kitaa tupo wote

Sasa alioa mke wake sasa ni miaka 3 wako kwenye ndoa halali kabisa. Mkewe ni mnyaturu, shida inayojitokeza yule mkewe pia anafanya kazi.

Tatzo ni kwamba yule mwanamke anaishi na mumewe kama vile bado hana familia yaani bado yuko tu kwao kwa baba na mama.

Kwani hata kile kidogo anachopata karibia chote anatuma kwao na si kwamba kwao kuna maisha magumu kivile hapana

Sasa inampa shida sn mumewe kwani anasema kwasasa wana familia ukizngatia wana mtoto tayari ilipaswa mkewe washirikiane kuendelea kuijenga familia yao kwa asilimia kubwa sana.

Kingine kule kwao na mwanamke ni kama vile wao bado wanataka kuendelea kummiliki mtoto wao kama vile hana familia wala hajaolewa.

Sasa wakuu nn maana ya kuoana na kuanzsha familia kama mmoja anakuwa kama bado kimwili yuko na ww lakini kiuhalisia hajatoka kwao maana hata wazazi wetu baba na mama hawa nao kila mmoja alitoka kwao ukoo tofauti familia tofauti wakaanzsha familia ndo wakatuzaa sisis.

Ushauri wenu tafadhari.....

NB: wanyaturu inasemekana ni watamu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Nani aliwatuma muoe?

KWANINI HAMSIKII kila siku mkiambiwa ndoa ni kisangaaa.

Haya bana, shauri yenu.

#YNWA
 
Na bado siku wakiachana mke atataka wagawane mali za familia 😅😅 alizochuma mume.
Mmeambiwa muishi nao kwa akili lakini nyie mwasema mwanamke ni kiumbe dhaifu subutuuuuuuu
Waulize kwanza, nani aliwatuma waoe?

Kwani wakiwa single na chakata SEPA, YANGEWAKUTA HAYA?

#YNWA
 
Kama alioa kwa sababu YA kazi YA mke akitegemea push pole zake.
Tupo wengi NA shuhuda zetu hata mke mkitafuta wote au umpe mradi bado atapeleka kwao.
Majukumu yako yatabaki vilevile.
Chamsingi aongee NA mkewe wafike mwafaka.
Kila ndoa inastaili yake haina kuiga usione watu nje wanapendana kuna mmoja kajifanya fara.
Niliachana NA mwanamke kisa pumba kama hizi NA zinginezo
 
Swala la mwanamke kutuma hela nyumbani kwao naona linamsaidia mwanaume kupunguza majukumu maana mwanamke angekua hafanyi kazi mwanaume angekua na majukumu ya kulea familia yake na ya wakwe zake. Akiliangalia hili swala kama ninavyoliangalia mimi atakua na amani katika ndoa yake.

Cha msingi mwanaume aangalie njia nyingine za kuongeza kipato. Lakini pia kumuomba msaada mke pale mwanaume anapokwama haikatazwi na si jambo la aibu, na kama mwanamke anakupenda atakusaidia tu.
 
Siyo wkend tu na kazi aache tu kama vp maana haina maana sasa ye kwenda kazn asbh na kurud usku au jioni

Haina maana kbs abaki nyumbani tu mi sjaoa mke wa kutimiza majukumu yake wkend bnafs mke wa hivi hapana

Kama anafanyakaz bs ajue pesa yake ni ya family si ya bnafs hataki njia nyeupe au aache kazi abaki nyumbani

Unaposema wkend atimize majukumu sku zngne nani anapika nani anabaki na watoto nani anafanya usafi ndani....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakompliketisha maisha ndoa utaiona ngumu, badili gia....

Huyo mkeo ambae wewe ndio jamaa sasa ni mtoto wa kike pekee kwao? Au ni binti mkubwa familia yao inamtegemea??

Kama ni hivo ichukue kama ilivyo atakuwa kwako kimwili tu akili yake ipo kwao, ukigombana nae ujue huo ugomvi ni wako na familia yake, lazima washirikishwe na watakayomshauri atayabeba na atasikiliza kila kitu kutoka nyumbani yani hata tamu utapangiwa pole...
 
Kila mmoja aishi kwake tuone palivyo patamu...
 
Na bado siku wakiachana mke atataka wagawane mali za familia 😅😅 alizochuma mume.
Mmeambiwa muishi nao kwa akili lakini nyie mwasema mwanamke ni kiumbe dhaifu subutuuuuuuu
Waache usiwashtue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa style hii bora kuoa mwanamke goalkeeper tu.
Sa kuna haja gani ya mke kuamka alfajiri kwenda kazini chakula mnapikiwa na house girl mtoto au watoto mnalelewa na house girl.

Kaz nyng za nyumban alizopaswa kufanya mke hazfanyi sababu anakwenda kazini kama mume

Halafu kwenye kuvuna mume huna chako hapo mume umlimpe mshahara house girl anayefanya kaz alizopaswa kufanya mke

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mimi pesa ya mke sitaigusa kabisa wala kutaka kuijua akiwa anafanya majukumu yake kama mke.

Ila hizi mambo za kupikiwa na housegirl, nguo unafuliwa, unapasiwa kwa wengine mpaka chumba kinasafishwa na housegirl aisee hapo iyo pesa yako naitaka.
Ila kama tunaishi kinyumba mke anafanya majukumu yake kama mke na mi si mchoyo wa kusaidia atapotingwa yaani hapo 100% mashaara wake ni wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa style hii bora kuoa mwanamke goalkeeper tu.
Sa kuna haja gani ya mke kuamka alfajiri kwenda kazini chakula mnapikiwa na house girl mtoto au watoto mnalelewa na house girl.

Kaz nyng za nyumban alizopaswa kufanya mke hazfanyi sababu anakwenda kazini kama mume

Halafu kwenye kuvuna mume huna chako hapo mume umlimpe mshahara house girl anayefanya kaz alizopaswa kufanya mke

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huduma zote umhudumie, akiumwa, salon, hata akitaka pipi mnunulie....hukumuoa aje kujihudumia kama mjane
 
Na huduma zote umhudumie, akiumwa, salon, hata akitaka pipi mnunulie....hukumuoa aje kujihudumia kama mjane
Naona unakurupuka sn aisee hivi kama mume anajitambua mke akiwa anaumwa anawezaje kutomiuhudumia aisee [emoji848][emoji848][emoji848] acha kuandka pumba
Khs saloon bado nakushangaa sn hata hapa saloon nalo ni swala la kuzungumzia

Eti pipi mmmh aisee nyie ndo mnasababsha wanawake wote kuonekana ni matahira aisee yan unafanya kaz unaamka alfajiri tunakwenda kazn tunarud usku watoto wangu wengne hata hawajui mapenz ya mama yao ksa kaz wanalelewa na house girl

Chakula tunapkiwa na house girl usafi na kufuliwa na house girl mtoto anakunywa maziwa artificial kisa we unaenda kazn
Halafu nisikuulze hela unapeleka wapi eti hela yako ni ya pipi na saloon eti

Kodi kila ktu mpk kulipa ada za watoto nalipa ww pesa yako saloon na pipi eti

Halafu ukzngua tugawane mali eti?

Acha kaz kaa nyumban lea watoto na usnipangie sina hela ya pipi na mambo yasiyokuwa na tija kwa family
Hutaki mlango uko wazi
Basic needs kwa family ni first priority kuliko pipi na saloon hujaja kukaa kwangu ukiwa unafanya kaz ili upate hela ya pipi na saloon
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Hela ya pipi tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tell that friend of yours to man up and stop acting like a little man. He is the head of that family for goods sake ajifunze kuimudu familia yake. Na hao wakwe awape ultimatum wajue boundaries zao vinginevyo wamchukue binti yao moja kwa moja. Ni kweli fedha ya mke ni ya mke but ni chanzo cha mapato cha familia. Mume kama head wa familia ana wajibu wa ku-enforce matumizi ya fedha bila kuchukua fedha hiyo.
 
Back
Top Bottom