Huyu hakuwa tayari kwa ndoa?

Huyu hakuwa tayari kwa ndoa?

Naona unakurupuka sn aisee hivi kama mume anajitambua mke akiwa anaumwa anawezaje kutomiuhudumia aisee [emoji848][emoji848][emoji848] acha kuandka pumba
Khs saloon bado nakushangaa sn hata hapa saloon nalo ni swala la kuzungumzia

Eti pipi mmmh aisee nyie ndo mnasababsha wanawake wote kuonekana ni matahira aisee yan unafanya kaz unaamka alfajiri tunakwenda kazn
Tamthilia zinawaharibu hao watoto. Kama fedha yake haina faida kwa familia abaki nyumbani alee watoto.
 
Ukitaka ndoa ife au asiwe na amani ya moyo basi aendelee kufuatilia pesa ya mwanamke.

Wengine tulishaacha kujihusisha na pesa ya mke na wala hatuulizi. Na hiyo imefanya achangie maendeleo ya familia kwa hiari
Whats the point here? Issue sio kufuatilia hela ya mwanamke. Wife is the life partner if she is not investing in family affairs ana invest kwenye familia za wenzake (kwao, baba na mama ni familia nyingine) kuna mawili either hana future na hiyo familia au ni aina ya mwanamke mpumbavu.
 
Naona unakurupuka sn aisee hivi kama mume anajitambua mke akiwa anaumwa anawezaje kutomiuhudumia aisee [emoji848][emoji848][emoji848] acha kuandka pumba
Khs saloon bado nakushangaa sn hata hapa saloon nalo ni swala la kuzungumzia

Eti pipi mmmh aisee nyie ndo mnasababsha wanawake wote kuonekana ni matahira aisee yan unafanya kaz unaamka alfajiri tunakwenda kazn tunarud usku watoto wangu wengne hata hawajui mapenz ya mama yao ksa kaz wanalelewa na house girl

Chakula tunapkiwa na house girl usafi na kufuliwa na house girl mtoto anakunywa maziwa artificial kisa we unaenda kazn
Halafu nisikuulze hela unapeleka wapi eti hela yako ni ya pipi na saloon eti

Kodi kila ktu mpk kulipa ada za watoto nalipa ww pesa yako saloon na pipi eti

Halafu ukzngua tugawane mali eti?

Acha kaz kaa nyumban lea watoto na usnipangie sina hela ya pipi na mambo yasiyokuwa na tija kwa family
Hutaki mlango uko wazi
Basic needs kwa family ni first priority kuliko pipi na saloon hujaja kukaa kwangu ukiwa unafanya kaz ili upate hela ya pipi na saloon
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Wewe ndo unakurupuka ndugu na jazba zako, kuoa mwanamke ana kazi haimaanishi baadhi ya huduma usimpe kisa ana kazi au mshahara wake uupangie, yaan wewe hujielewi kabisa, mwanamke Kushare na wewe kipato chake ni kwa kupenda tu sio shurti tena kwa makubaliano, na sjasema anafanya kazi ili alipie salon na pipi, nimesema hata pipi akitaka unamnunulia, hata kwenda salon, umepanic ka vile umenioa sasa! Mwanaume anayejua jukumu lake nikwambie haezi uliza habari ya pesa ya mwanamke, ni mwanamke tu kujiongeza kiaina anamsuprise mambo madogo madogo mumewe Ila sio kuclear bills 50/50 kisa umemshurutisha eti kisa anafanya kazi! Tena unakuta mnafanya kazi wote hata mafuta ya gari ni juu ya mwanaume na wala halalamiki sasa kama we ulivotoa povu la toss halioni ndani.....mwanaume aliyekamilika uanaume wake anafeel proud kumhudumia mkewe! Tafuta hela usitolee macho pesa ya mkeo we ndo kichwa cha familia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa style hii bora kuoa mwanamke goalkeeper tu.
Sa kuna haja gani ya mke kuamka alfajiri kwenda kazini chakula mnapikiwa na house girl mtoto au watoto mnalelewa na house girl.

Kaz nyng za nyumban alizopaswa kufanya mke hazfanyi sababu anakwenda kazini kama mume

Halafu kwenye kuvuna mume huna chako hapo mume umlimpe mshahara house girl anayefanya kaz alizopaswa kufanya mke

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Well said...
 
Hela ya pipi tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesema hata km mke ana kazi jukumu la kumhudumia ni la mume hata akihitaji pipi mume anunue atanunua anakurupuka na mihemko sjui ya kukosa hela kapovuka adi basi....nasema hivi MWANAUME YEYOTE ANAYEJIELEWA HAWEZI TOLEA MACHO PESA YA MWANAMKE/KUTOKUHUDUMIA BAADHI YA HUDUMA KWA MKEWE KISA ANA KAZI
 
Siyo wkend tu na kazi aache tu kama vp maana haina maana sasa ye kwenda kazn asbh na kurud usku au jioni

Haina maana kbs abaki nyumbani tu mi sjaoa mke wa kutimiza majukumu yake wkend bnafs mke wa hivi hapana

Kama anafanyakaz bs ajue pesa yake ni ya family si ya bnafs hataki njia nyeupe au aache kazi abaki nyumbani

Unaposema wkend atimize majukumu sku zngne nani anapika nani anabaki na watoto nani anafanya usafi ndani....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utaweza kuhudumia familia yake?
 
Ukitaka ndoa ife au asiwe na amani ya moyo basi aendelee kufuatilia pesa ya mwanamke.

Wengine tulishaacha kujihusisha na pesa ya mke na wala hatuulizi. Na hiyo imefanya achangie maendeleo ya familia kwa hiari

Kabisa

Mi ukianza kunifuatilia na hela yangu ntakunyoosha

Ila ukiniacha naona aibu najiongeza
 
Swala la mwanamke kutuma hela nyumbani kwao naona linamsaidia mwanaume kupunguza majukumu maana mwanamke angekua hafanyi kazi mwanaume angekua na majukumu ya kulea familia yake na ya wakwe zake. Akiliangalia hili swala kama ninavyoliangalia mimi atakua na amani katika ndoa yake.

Cha msingi mwanaume aangalie njia nyingine za kuongeza kipato. Lakini pia kumuomba msaada mke pale mwanaume anapokwama haikatazwi na si jambo la aibu, na kama mwanamke anakupenda atakusaidia tu.

Huwa mnasema naomba unikopeshe
Ntakurudishia mwisho wa mwezi[emoji23][emoji23]
 
Mwanaume ukiwa na hela haba, lazima utaanza kutolea macho vihela vya mkeo,

Wanawake wako hivi;

Unaweza kumpa laki moja akakuuliza " na ile elf 20 ya kusuka uliyosema utanipa vipi"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mimi pesa ya mke sitaigusa kabisa wala kutaka kuijua akiwa anafanya majukumu yake kama mke.

Ila hizi mambo za kupikiwa na housegirl, nguo unafuliwa, unapasiwi kwa wengine mpaka chumba kinasafishwa na housegirl aisee hapo iyo pesa yako naitaka.
Ila kama tunaishi kinyumba mke anafanya majukumu yake kama mke na mi si mchoyo wa kusaidia atapotingwa yaani hapo 100% mahaara wake ni wake.
Huu ndo uanaume hope1985 njoo angalia wenzio.....na haimaanishi mke kufanya kazi ndo kila shughuli afanye msaidizi, huo utakuwa ufala wa mke! Kuna kujipangia ratiba za usafi, kujipangia Kuwahi kuandaa chakula, Siku za usafi, kwa mwanamke anayejielewa haezi kosa izo siku ndani ya wiki......nafanya kazi na binti wa kazi haezi ingia chumbani kwangu kufanya usafi wala kushika nguo ya mume wangu kufua haitatokea......ikitokea pengine wakati wa uzazi siwezi kabisa ntatafuta mtu atakuja atafuaa afu ataondoka
 
Naona unakurupuka sn aisee hivi kama mume anajitambua mke akiwa anaumwa anawezaje kutomiuhudumia aisee [emoji848][emoji848][emoji848] acha kuandka pumba
Khs saloon bado nakushangaa sn hata hapa saloon nalo ni swala la kuzungumzia

Eti pipi mmmh aisee nyie ndo mnasababsha wanawake wote kuonekana ni matahira aisee yan unafanya kaz unaamka alfajiri tunakwenda kazn tunarud usku watoto wangu wengne hata hawajui mapenz ya mama yao ksa kaz wanalelewa na house girl

Chakula tunapkiwa na house girl usafi na kufuliwa na house girl mtoto anakunywa maziwa artificial kisa we unaenda kazn
Halafu nisikuulze hela unapeleka wapi eti hela yako ni ya pipi na saloon eti

Kodi kila ktu mpk kulipa ada za watoto nalipa ww pesa yako saloon na pipi eti

Halafu ukzngua tugawane mali eti?

Acha kaz kaa nyumban lea watoto na usnipangie sina hela ya pipi na mambo yasiyokuwa na tija kwa family
Hutaki mlango uko wazi
Basic needs kwa family ni first priority kuliko pipi na saloon hujaja kukaa kwangu ukiwa unafanya kaz ili upate hela ya pipi na saloon
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Unaonekana unaongea sana aisee

Mwanaume wa Hivi nae Changamoto
 
Huwa mnasema naomba unikopeshe
Ntakurudishia mwisho wa mwezi[emoji23][emoji23]
Mimi hata akitumia hiyo lugha najua ametingwa na kama ipo nampa na sitomdai kwa sababu najua jukumu la kuhudumia familia ni lake, na sa zingine anaweza akakwambia tu kukupima na ukampa...maisha ya ivo yanaenda vizuuuuri mwanaume hajiulizi mara mbili juu ya majukumu yake kwene familia
 
Unaonekana unaongea sana aisee

Mwanaume wa Hivi nae Changamoto
Sjui ni hela hana😂😂😂😂 au hajaoa sasa mindset yake kichwani iko kama povu lake hapo, anajua akioa mke ana kazi basi hata kujenga atajengea pesa ya mwanamke😂😂😂😂😂😂😂 poor hope1985
 
Huu ndo uanaume hope1985 njoo angalia wenzio.....na haimaanishi mke kufanya kazi ndo kila shughuli afanye msaidizi, huo utakuwa ufala wa mke! Kuna kujipangia ratiba za usafi, kujipangia Kuwahi kuandaa chakula, Siku za usafi, kwa mwanamke anayejielewa haezi kosa izo siku ndani ya wiki......nafanya kazi na binti wa kazi haezi ingia chumbani kwangu kufanya usafi wala kushika nguo ya mume wangu kufua haitatokea......ikitokea pengine wakati wa uzazi siwezi kabisa ntatafuta mtu atakuja atafuaa afu ataondoka
Ndo hivyo mkuu, sasa ukute dada wa watu anapinda mgongo kila leo, halafu jitu linataka na pesa ya majukumu ya nyumbani iwe 50/50, huo ni uonevu sasa.
 
Wewe ndo unakurupuka ndugu na jazba zako, kuoa mwanamke ana kazi haimaanishi baadhi ya huduma usimpe kisa ana kazi au mshahara wake uupangie, yaan wewe hujielewi kabisa, mwanamke Kushare na wewe kipato chake ni kwa kupenda tu sio shurti tena kwa makubaliano, na sjasema anafanya kazi ili alipie salon na pipi, nimesema hata pipi akitaka unamnunulia, hata kwenda salon, umepanic ka vile umenioa sasa! Mwanaume anayejua jukumu lake nikwambie haezi uliza habari ya pesa ya mwanamke, ni mwanamke tu kujiongeza kiaina anamsuprise mambo madogo madogo mumewe Ila sio kuclear bills 50/50 kisa umemshurutisha eti kisa anafanya kazi! Tena unakuta mnafanya kazi wote hata mafuta ya gari ni juu ya mwanaume na wala halalamiki sasa kama we ulivotoa povu la toss halioni ndani.....mwanaume aliyekamilika uanaume wake anafeel proud kumhudumia mkewe! Tafuta hela usitolee macho pesa ya mkeo we ndo kichwa cha familia
Ona sasa mimi sina njaa na nna mke pia anafanyakazi hiki kisa nmeleta ni cha rafiki yangu wa karibu sana naye pia hana njaa ila anashangaa mkewe pesa yake hata kununua sabuni hakuna sasa anajiuliza huyo mkewe hiyo kazi anafanya yanini?

Mimi mke wangu si zumbukuku kama wewe anajua majukumu yake akipokea salary nikipokea salary hukaa pamoja kujua kesho yetu ndani ya familia kuptia tunachopata

Na hakuna tatizo majukumu yanayohusu kipato sote tunashiriki kwa umoja pesa yote ni ya familia tu hakuna pesa ya mke au mume
 
Huu ndo uanaume hope1985 njoo angalia wenzio.....na haimaanishi mke kufanya kazi ndo kila shughuli afanye msaidizi, huo utakuwa ufala wa mke! Kuna kujipangia ratiba za usafi, kujipangia Kuwahi kuandaa chakula, Siku za usafi, kwa mwanamke anayejielewa haezi kosa izo siku ndani ya wiki......nafanya kazi na binti wa kazi haezi ingia chumbani kwangu kufanya usafi wala kushika nguo ya mume wangu kufua haitatokea......ikitokea pengine wakati wa uzazi siwezi kabisa ntatafuta mtu atakuja atafuaa afu ataondoka

Sijui kama umeelewa hcho kisa hapo

Mambo ya familia au ndoa ni ya watu wawili mimi na mke wangu ndo tunajua tunafanya nini siishi kwny ndoa kwa kufata nini watu wanasema au nani anaishije na mkewe

Salary ya mke au mume ni ya familia period hutaki acha kaz mara moja ukae nyumbani kama unapenda sn kuhudumia kwenu kuliko mji wako njia nyeupe rudi kwenu over over
 
Ona ulivyo komamanga sasa mi sina njaa na nna mke pia anafanyakazi hiki kisa nmeleta ni cha rafiki yangu wa karibu sn naye pia hana njaa ila anashangaa mkewe pesa yake hata kununua sabuni hakuna sa anajiulza huyo mkewe hiyo kaz anafanya yann?
Mi mke wangu si zumbukuku kama ww anajua majukumu yake akipokea salary nikipokea salary hukaa pamoja kujua kesho yetu ndani ya familia kuptia tunachopata
Na hakuna tatzo majukumu yanayohusu kipato sote tunashiriki kwa umoja pesa yote ni ya familia tu hakuna pesa ya mke au mume

Utatombwa sn fala ww kwa tabia hzi nyie ndo mnaharibu wake za watu NUNGAIYEMBE WW
Hata hela hauna ndo maana akili yako ina hasira hunijui, sikujui niko kwa ndoa shoga angu mi sio wa leo Ila mwanaume anayejitambua haezi pangia matumizi pesa ya mke...labda tu kwa makubaliano ya mke kupenda mwenyewe
 
Utaweza kuhudumia familia yake?
Anaweza wapi mtu mwenyewe sjui anaonekana kunuka dhiki tu ndo maana anatoa maneno ya shombo kisa kusema pesa ya mwanamke ni ya mwanamke sio kupangiana majukumu 50/50 adi anatukana
 
Back
Top Bottom