kwa hiyo hicho ndicho ulichoenda kufuata huko ofisi mkuu,.
Endelea na tabia zako tu ila ujue unachofanya ni sawa na kumvua dada yako ama mzazi wako nguo ili upate kuona utupu wake!!
Vijana wa siku hizi wamethamini mapenzi kuliko hata kazi,. Unamkuta mtu kazunguka na bahasha mpaka soli ya kiatu imekwisha na akipata kazi anajisahau anafanya madudu kama haya,...
Shame!!!
mkuu sio kila nyam inaliwa hii ndo kanuni ya maisha yangu, nikisema sili sili kweli hata kama ni kitamu,hasa loose balls,nikipiga sound nahisi nimetendewa haki. sipendi kumdhalilisha kwa wengine acha nimuinjoy pekeyangu bhana..
ngoja nimtest ingawa sikuwa na lengo hilo,nilitaka kuishia tumbo kifua na mapaja tu kupima akili yake
kamata na wewe wa kwako ufanye vivyo ivyo..... ila unaonekana ni mtu unajielewa uwezi fanya ujinga huo ..... shikamooo mkuuu........!!!!!!!!!!!!!!
miss chaga ungekuwa unaficha ungevaa mini ofisini..? acha mbwembwe bhana,mnaanzishaga wenyewe,si tuanwazingua tu mpaka mdate
KWA hiyo unataka wanyonyeshane ofisin ?
hahahhaa why,.? is it hard for you to believe, ukimuona ndo utazimia kabsaa, very repsectable and high class woman
Kwa hiyo na wewe unataka kugegeda.Uwiiiiiiiiii hii ndio iliyokupeleka ofisini?si afazali mi namfanya toy,watu mnagegedana ofcn bika aibu
Hahahaha mkuu sasa hii ni ipi icyoridhsha au ya kuhudhunisha?
Labda amkaribishe wodi take.umeomba amekuonesha, ushauri ni kwamba sehemu ya kazi haifai kwa mambo hayo. Kwa nini usimkaribishe kwako akuoneshe kila utakacho?
daa mchizi anaimbaa jukwaani.. miss chagga utaibiwa kuwa macho umetumwa hela mamaangu eti..
sasa kwani wanaonyesheana wapi hayo maungo yao
trust me mis chagga she likes it kuliko ninavyoshobokea mimi, anajileta nami namkoleza ili asijisikie nimemtosa au nampuuzia.she feels hapy to do itkwa hiyo unaona kumwambia ajifunue siyo kumdhalilisha? yeye anajifunua akijua ipo siku utakula tena ofisin humo humo alafu unakataaa tena
wachukue hata nyumba ya wageni wafanye hivyo,..... kuna chizi yangu mmoja yeye kapangisha chumba karibu na maeneo ya ofisi wanachangia kodi watu watatu kwa ajili ya kuchapa watoto wa watu .... siyo kwamba mimi ni chizi kama wao hapana....