Superior 01
Member
- Apr 16, 2019
- 98
- 80
Anavyoandika sasa[emoji31]
Asante kwa kuongea vitu vilivyotukukaSipendi mtu kunitumia SMS za kihuni eti ni2mie, xaxa dah naonaga taabu kuzisoma. Bora kukosoe hiyo inajulikana ni typing error. Dah! Anyway, usiitume hivi mtu unaanzaje kuomba vocha kwa mtu mmekutana siku moja? Hata kama ni zaidi ya one day???? Upuuzi.
Sasa kwani huyo ni demu wake,maelezo yake anadai hata hajamtongozaUna kiwanda Halafu unapiga kelele kuombwa vocha tu?
Mwanaume sharti uhudumie demu wako!
Mimi kuna mmoja nliwahi kumtongoza sasa kila nikimwita ghetto aje nimpige mkuyati analeta sound,nikamwambia basi futa namba Yangu na koma kunitafuta manake alikua na juhudi ya kunitext na kunipigia ila kutoa papuchi sound kibao,tukapotezana kama mwezi juzi kanitafuta nikamwambia unataka nini akaomba msamaha tukaendelea kuchat ,siku 2 mbele si kaniomba hela nikamwambia kipi cha maana ulichonipa hadi niwe na mzuka wa kukupa hela Yangu ,akaomba yaishe tukaendelea na chating hapa tumepanga weekend hii aje ,sasa hawa mademu ukiwaendekeza kila wanachotaka/kukuomba basi utakufa maskini
Hawa mademu ni sumuu .Yaani wanachofanya anakuwa na wanaume foleni kama yote then anaanza kila mmoja kumlilia shida ndogo ndogo amabazo thamani yake haizidi 10000 sasa kama ana wanaume 30 afu kila mmoja katuma angalau 5000 tayari ashafunga siku. Yaan wanatumia ule msemo Wa "aim higher to achieve less" kwa maana ya kwamba akikupiga mzinga Wa 10000 unaweza mshusha ukampa 5000. Wanakera kwa kweli then kitu kingingine yaaan hawa viumbe wanatamaaa sijawahi ona Mimi.