Huyu demu anataka kunifirisi kiwanda changu Nirudi Bush

Huyu demu anataka kunifirisi kiwanda changu Nirudi Bush

Huyu demu nimekutana nae jana pale kiwandani kwangu, sikuwa na simu kwa wakati huo kwa sababu nilikuwa busy, nilimpatia namba yangu ikiwezekana anicheki mida flani ya Night,

Ukweli usiku ulivyofika kanicheki na kwa sababu nilikuwa nimechoka sana nilimwambia nitamtafuta leo,

Sasa basi ile kuamka tu nakutana na meseji kutoka kwake eti my Umeamkaje? Kumbuka sijamtongoza wala kumgusia chochote,
Mchana huu nakutana na sms "my umeshakula" nikaona ngoja nichati chati nae kidogo aisee muda huu sasa kilichotokea Naombwa vocha"kumbuka bado sijamtongoza wala kummenya lakini ameshaanza hivyo,

Je huyu kiumbe kweli ataniacha salama huko mbeleni na hichi kiwanda changu kama Hela ya kununua vocha yenyewe tu hana je atakuwa na hela ya Kula kweli au anataka niwe mufirisi nitafutwe kwa madeni hapa mjini?

View attachment 1145568View attachment 1145570



CC Zero IQ
Mwambie kweli anajipendekeza
 
Daa picha yake sina mkuu ila demu flani hivi ana Chura tena ile teke teke
Huyo atakuwa mrembo zaidi ya jini mkuu huyo Ni zaidi ya revenue authority akikusanya ya vihepe vya siku moja mtaji siku 2 chali Cha mende wakati watu wanafungua koki kitaa bure kunenepa aje kwako hii haipo poa mazee
 
Huyo atakuwa mrembo zaidi ya jini mkuu huyo Ni zaidi ya revenue authority akikusanya ya vihepe vya siku moja mtaji siku 2 chali Cha mende wakati watu wanafungua koki kitaa bure kunenepa aje kwako hii haipo poa mazee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kweli kabisa mkuu
 
Sipendi mtu kunitumia SMS za kihuni eti ni2mie, xaxa dah naonaga taabu kuzisoma. Bora kukosoe hiyo inajulikana ni typing error. Dah! Anyway, usiitume hivi mtu unaanzaje kuomba vocha kwa mtu mmekutana siku moja? Hata kama ni zaidi ya one day???? Upuuzi.
huyo ni muuzaji mkuu
 
Nenda naye gest fanya muamala wa kuwekea pesa kwenye line yake afu piga machine ukimaliza wkt anaenda kuoga tu piga voda kwa umekosea muamala!nenda zako futa namba yake ya cmu!niite chuga man aka chugastan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom