flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,856
- 6,442
Hata yavocha mkuu mtumie hata buku mbili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi ubahiri wangu uko wapi mkuu?
Hata yavocha mkuu mtumie hata buku mbili[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi ubahiri wangu uko wapi mkuu?
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23]Mkuu tuma""
baada ya vocha jiandae hela ya saloon maana hajasuka"'
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aseee[emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee buku mbili sahani moja ya kiepe kavu na mshikaki mmoja mkuu
Sio upuuzi tu ni upuuzi wa kiwango cha PHDSipendi mtu kunitumia SMS za kihuni eti ni2mie, xaxa dah naonaga taabu kuzisoma. Bora kukosoe hiyo inajulikana ni typing error. Dah! Anyway, usiitume hivi mtu unaanzaje kuomba vocha kwa mtu mmekutana siku moja? Hata kama ni zaidi ya one day???? Upuuzi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukisikia gundu ndio hilo, mmetongozana siku moja iliyopita tu, tayari
1. Birthday ishafika
2. Anataka akasuke
3. Anahoma anataka aende hospitali
4. Kodi ya nyumba imeisha
5. Gesi imekata
6. Atafukuzwa chuo kwakuwa hana ada
7. Hana hela ya kula
8. Mama yake mzazi ni mgonjwa sana
9. Simu yake inaharibika anataka mpya
10. Hana hela ya kifurushi
Hapo lazima wanaume tuambizane ukweli, hawa viumbe usithubutu kuwapenda kwa dhati. Utakufa mapema.
[emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee buku mbili sahani moja ya kiepe kavu na mshikaki mmoja mkuu
hivi kwanini baadhi ya wasichana weanapenda kutumia "X" badala ya "S"Huyu demu nimekutana nae jana pale kiwandani kwangu, sikuwa na simu kwa wakati huo kwa sababu nilikuwa busy, nilimpatia namba yangu ikiwezekana anicheki mida flani ya Night,
Ukweli usiku ulivyofika kanicheki na kwa sababu nilikuwa nimechoka sana nilimwambia nitamtafuta leo,
Sasa basi ile kuamka tu nakutana na meseji kutoka kwake eti my Umeamkaje? Kumbuka sijamtongoza wala kumgusia chochote,
Mchana huu nakutana na sms "my umeshakula" nikaona ngoja nichati chati nae kidogo aisee muda huu sasa kilichotokea Naombwa vocha"kumbuka bado sijamtongoza wala kummenya lakini ameshaanza hivyo,
Je huyu kiumbe kweli ataniacha salama huko mbeleni na hichi kiwanda changu kama Hela ya kununua vocha yenyewe tu hana je atakuwa na hela ya Kula kweli au anataka niwe mufirisi nitafutwe kwa madeni hapa mjini?
View attachment 1145568View attachment 1145570
CC Zero IQ
nitumie mimi mkuuNikutumie namba yake umtumie?
Jana mwenyewe kuna binti ni classmate wangu back days skonga nimechati nae kidogo ananiambia anashida ya sh.... sijui wanakwama wapi hawa viumbe.[emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee buku mbili sahani moja ya kiepe kavu na mshikaki mmoja mkuu