Huyu demu anataka kunifirisi kiwanda changu Nirudi Bush

Huyu demu anataka kunifirisi kiwanda changu Nirudi Bush

Una kiwanda Halafu unapiga kelele kuombwa vocha tu?
Mwanaume sharti uhudumie demu wako!
 
Mimi kuna mmoja nliwahi kumtongoza sasa kila nikimwita ghetto aje nimpige mkuyati analeta sound,nikamwambia basi futa namba Yangu na koma kunitafuta manake alikua na juhudi ya kunitext na kunipigia ila kutoa papuchi sound kibao,tukapotezana kama mwezi juzi kanitafuta nikamwambia unataka nini akaomba msamaha tukaendelea kuchat ,siku 2 mbele si kaniomba hela nikamwambia kipi cha maana ulichonipa hadi niwe na mzuka wa kukupa hela Yangu ,akaomba yaishe tukaendelea na chating hapa tumepanga weekend hii aje ,sasa hawa mademu ukiwaendekeza kila wanachotaka/kukuomba basi utakufa maskini
 
Kweli kabisa mkuu
 
Hata mimi hiyo nimekutana nayo juzi tuu. Nilichofanya ni kumfungia vioo, simu sipokei na wala message simjibu. Mbuzi kabisa dem mwenyewe single mother, nikapata jibu kwa nini alizalishwa na kuachwa.
ww jamaa katili atakuchukia sana mpe hela halafu sepa
 
Huyu demu nimekutana nae jana pale kiwandani kwangu, sikuwa na simu kwa wakati huo kwa sababu nilikuwa busy, nilimpatia namba yangu ikiwezekana anicheki mida flani ya Night,

Ukweli usiku ulivyofika kanicheki na kwa sababu nilikuwa nimechoka sana nilimwambia nitamtafuta leo,

Sasa basi ile kuamka tu nakutana na meseji kutoka kwake eti my Umeamkaje? Kumbuka sijamtongoza wala kumgusia chochote,
Mchana huu nakutana na sms "my umeshakula" nikaona ngoja nichati chati nae kidogo aisee muda huu sasa kilichotokea Naombwa vocha"kumbuka bado sijamtongoza wala kummenya lakini ameshaanza hivyo,

Je huyu kiumbe kweli ataniacha salama huko mbeleni na hichi kiwanda changu kama Hela ya kununua vocha yenyewe tu hana je atakuwa na hela ya Kula kweli au anataka niwe mufirisi nitafutwe kwa madeni hapa mjini?

View attachment 1145568View attachment 1145570

CC Zero IQ
Kiukweliii hii tabia sii pendi hata kidogo.

Kuna mmoja alianza hivyo hivyo vochaa akaja pesa ya ped akaja.
Akaja pesa ya mama anaumwa.

Nakumbuka nili mjibu shot tu kuwa siku ukija kulala kwangu week ndo nitatibu shida zako
 
kaka unaogopa kuumizwa na papuchi unataka ha ha cku njema wadau
 
Hawa mademu ni sumuu .Yaani wanachofanya anakuwa na wanaume foleni kama yote then anaanza kila mmoja kumlilia shida ndogo ndogo amabazo thamani yake haizidi 10000 sasa kama ana wanaume 30 afu kila mmoja katuma angalau 5000 tayari ashafunga siku. Yaan wanatumia ule msemo Wa "aim higher to achieve less" kwa maana ya kwamba akikupiga mzinga Wa 10000 unaweza mshusha ukampa 5000. Wanakera kwa kweli then kitu kingingine yaaan hawa viumbe wanatamaaa sijawahi ona Mimi.
 
Lakin wanaishi maisha ya shida licha ya mizinga yote hyo,maajabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom