Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

Sio ghetto tu, hata nkimwambia twende town or somewhere else for a walk anadai yuko busy..sasa mm huyo wa nini Simara
Hata kama jamani ndiyo umseme kisa 30,000? Ungempa tu na ingetokea hajakurudishia ungefanya kama umetoa sadaka.
 
Mwanamke hakopesheki mkuu, ukitoa hesabu maumivu tu.
 
Hata kama jamani ndiyo umseme kisa 30,000? Ungempa tu na ingetokea hajakurudishia ungefanya kama umetoa sadaka.

Ingawa kiukweli kutoka moyoni huyo dada nampenda, napenda kumpa hela na uwezo wa kumpa hela ninao, ila imebidi nitumie logic kufanya maamuzi na sio emotions, I put my hand where my mouth is, SHIT utakuta nikimpa hiyo hela yeye, part of that money anaenda kumpa her real man/ mwanaume anaempenda yeye. Some women are heartless. Simara
 
Back
Top Bottom