Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.

Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.

Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??

Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
true aiseee
 
So technically huyu dada anauza kwa kufanya ukahaba.....?! Maana niaje atake pesa kwa udhamini wa mahusiano anayotaka kuanza na jamaa.....hivi umetazama hii logic ya upande huu pia?!
 
Pia nikuulize umetizama upande wa jamaa anaetaka aende ghetoa ndani ya siku 3?

Ukahaba ni kumuomba mtu elfu 30? Sikujua ilo thanks umenijulisha.
 
Hapo kwenye bold wanadada huwa mnazingua sana! kwani tunapo gegedana si wote tunapata raha kwanini mnaifanya ionekane kwamba unalipia huduma? kumbuka kwamba namna anavyohitaji ndiyo unavyo hitaji pia.
Mwanaume anafurahia zaidi
 
Ingawa kiukweli kutoka moyoni huyo dada nampenda, napenda kumpa hela na uwezo wa kumpa hela ninao, ila imebidi nitumie logic kufanya maamuzi na sio emotions, I put my hand where my mouth is, SHIT utakuta nikimpa hiyo hela yeye, part of that money anaenda kumpa her real man/ mwanaume anaempenda yeye. Some women are heartless. Simara
U mean huyo demu wako ataenda kuhonga hiyo elfu 30?....haaaahaaa we jamaa una vituko
 
Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.

Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.

Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??

Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Mwanaume hamtumii mwanamke, wanatumiana na kupata raha pamoja
 
Back
Top Bottom