Hamna cha kupima hapa girls akili zao tunazijua alafu msela kamaliza vizur hata mimi demu anaye penda hela lkn hataki kutoa mzigo apite kushoto tu. Ila akinipa mzigo naweza kumtimizia mahitaji yake atakavyo nile na yeye ale sio ale peke yake.HAKUNA MAMBO YA SLOPEElfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Hahaaa. Wacha weee.Mvumilivu ula mbivu na endelea kusubiria tu best
Duu si kwa madongo kuinama hayoElfu 30 tu na unamuanzishia thread.
Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.
Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??
Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yote kheri na vumilia tuHahaaa. Wacha weee.
Hii nionavyo nitakula zilizooza best.