Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.

Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.

Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??

Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?
Very logical
 
Hasara roho Pesa makaratasi....
Toa pesa upate papuchi
 
Elfu 30 tu na unamuanzishia thread.

Utashangaa anakupima, utakuta unamkopesha na anakulipa.

Wanaume mna vituko u don't want her to use you financially but unahitaji aje kwako mspend, so it's okaay wewe kumtumia ila it's not okaay yeye kukutumia??

Unashangaa siku ya 3 tu kukukopa hela ila ushangai siku ya 3 tu unamuambia aje kwako?

Hapo kwenye bold wanadada huwa mnazingua sana! kwani tunapo gegedana si wote tunapata raha kwanini mnaifanya ionekane kwamba unalipia huduma? kumbuka kwamba namna anavyohitaji ndiyo unavyo hitaji pia.
 
Umetetea vyema

Hizi tabia za kijipenda zinaingia sehem nyingi.
Ingekua mimi ndani ya hizo siku napigwa mzinga najipa tumaini la kula
 
Ha ha ha Mkuu umetisha yaani ungeona anakupa matumaini kabisa
 
Hapo kwenye bold wanadada huwa mnazingua sana! kwani tunapo gegedana si wote tunapata raha kwanini mnaifanya ionekane kwamba unalipia huduma? kumbuka kwamba namna anavyohitaji ndiyo unavyo hitaji pia.
No Comment.
 
Sio jukumu la mwanaume kumpa demu pesa ndo maana Africa haiendelei kwasababu ya watu kuwa tegemezi
Mila za africa zilizo nyingi zimeegemea kwenye imani za dini hivyo ni wajibu wa mwanaume kumtunza mwanamke
 
Back
Top Bottom