Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

Huyu dada nilikuwa na malengo nae ila mmh

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa. Siku hizi walio wengi ndio vilio vyao hivyo Swahiba.

Sasa unamsemea huyo misimbazi mitatu kuna wengine buku tu ya Vocha atalia mpaka basi.
 
Hello guys

Kuna mdada mmoja nlimtongoza halafu akaonesha kunikubali, like ananipigia simu, anani-text, she is sweet and charming etc..isipokuwa tu kila nikimwita aje gheto, au nikimwomba ni-spend time pamoja nae, anadai kuwa yuko busy, sana sana atanialika kwao nikamtembelee.

Alichonimaliza ni pale aliponiomba nimkopeshe elf 30 ya kwenda saluni, akiahidi kunirudishia hiyo hela baada ya wiki mbili (of course we all know there is 98% probability kuwa asingenirudishia) na mdada nahis alijua nisingemdai hiyo hela kwasababu nampenda..so technically ni kwamba aliniomba hela indirectly.

Sasa nkajiuliza na kufikiria mambo kadhaa:
1) Hajui ku-manage hela, hata nkimuoa si atakopa kopa aweke familia kwenye madeni ili aende saluni?
2)Muda wa ku-spend time na mimi hana, ila muda wa kwenda saluni kusuka anao..
3)Kanikopa hela Siku ya 3 tu baada ya kufahamiana nae, which to me is a huge red flag, najua ni jukumu la mwanaume kumpa hela mpenzi wake (mke au girlfriend), na mimi nakubaliana hilo jukumu, ila huyu mdada nahisi ananipendea hela , nina uwezo wa kumpa hata mara 10 ya hela alioniomba, ila mmh hapana..I don't want her to use me financially.

Sasa nimemwambia usijali utapata hiyo hela, ila kiukweli simpi hela, sitakaa nimtembelee kwao, niwasiliane nae au niongee nae tena, wala calls na SMS zake sitojibu, nimekaa zangu kimya kama jogoo aliemwagiwa maji ya baridi..bora fedha kuliko fedheha..

Kaka nakugawa BURE
  1. Sio kosa hata kidogo kwa mwananmke au mwanaume kumpenda mwanaume kwa sababu ya yafuatayo:
    1. Cheo chake Kazini au nafasi yake kibiashara
    2. Pesa zake
    3. Nasaba yake mfano (mtoto wa Rais, waziri, chief, Sheikh, Padri nk
    4. Uhusiano wake na Mungu
  2. Sio kosa pia mwanamke kukuomba pesa au kutoa kwa hiari yako kumhudumia,
  3. Sio kosa pia mwanamke kumtongoza mwanaume
  4. Ikumbukwe tu kwamba namba zote tatu zinatakiwa zifanyike kwa minajili ya ndoa na sio zinaa aka kugegedana tu...
Hivi wewe unadhani mimi nimesumbuka kumsomesha binti/kijana wangu au binti/kijana wangu amepata shida ya kusoma mpaka usiku wa manane na kuloweka miguu kwenye maji alafu wewe toto lako lilikua linacheza na kula mihogo shule. utadhani mimi nitakuwa upande wako? THUBUTU

Ndoa ni kwa ajili tu ya wale wenye kujitambua kama hujitambui ACHANA NA BINTI/KIJANA WA WATU

SHUBAMIT
 
nasoma zangu comments tu huku nikitabasamu kwa maneno ya waja hahahahaha.
 
Sasa kwanini na yeye kamuita gheto?? Hata sisi mwanaume anaeonyesha genye zake mapema kwenye mahusiano hupelekea uhusiano kufa.
Hivi inatakiwa mwanaume aanze kuonesha nyege zake muda gani baada ya kuingia kwenye mahusiano mapya? Na mwanamke anatakiwa aombe hela baada ya muda gani?

Msaada hapo ili tuweke baseline kabisa
 
Mkuu, ebu wote punguzeni speed yaani ndani ya siku 3 za kufahamiana tayari mshaanza kuitana Gheto na mizinga tena duh.
 
Bora fedha kuliko fedhea. Mkuu baki katika msimamo wako tu. Me naona wanaojibalaguza eti elfu 30 tu ndio unamuandikia thread. Me nataka niwaulize hivi hiyo elfu 30 kunamtu anaweza tembea barabarani harafu akaiokota bira kuitolea jasho. Wanachukulia vitu simple tu et. Kweli tulizaliwa dunia sawa ila tumeumbwa tofauti.
Simara
Funza dume
Antonio de Guzman
 
Back
Top Bottom